Hahahahahahahahaa saizi hapa si kuaminika kibisaa inatakiwa tuwe makin na habari zinazotolewa na watu hapa nowdays hiii habari kiukweli imenipa usumbufu sana aisee
pole sana ndg
Hahahahahahahahaa saizi hapa si kuaminika kibisaa inatakiwa tuwe makin na habari zinazotolewa na watu hapa nowdays hiii habari kiukweli imenipa usumbufu sana aisee
Duuh aisee. Yani hilo tangazo la website ya jkt limem address Mtanzania mwenye nia directly!!! Sio mchezo ! Vijana wao wa IT wako makini
Hatari sana sasa sijui watamtafuta wamutie adabu kidogo au hahahahahaa kidding
Umesema una "masters".
www.jkt.go.tz/component/content/article/165.html Ona walichosema MAKAO MAKUU YA JESHI LA
KUJENGA TAIFA LINAKANUSHA
HABARI ILIYOTOLEWA NA MTANDAO
WA JAMII FORUM KUWA NAFASI ZA
VIJANA WA KUJITOLEA
ZIMETANGAZWA.
HABARI HIYO IMETUMWA NA MTU
ANAYEJIITA MTANZA MWENYE NIA
TAREHE 24 SEPTEMBA 2014.
UKWELI NI KWAMBA NAFASI HIZO
HAZIJATOLEWA NA TAARIFA HIYO SI
SAHIHI, HAKUNA KITU KAMA HICHO.
AIDHA, IFAHAMIKE MATANGAZO YOTE
YAHUSUYO JESHI LA KUJENGA TAIFA
HUTANGANGAZWA KWENYE TOVUTI
YA JKT AMBAYO NI
WWW.JKT.GO.TZ . AMA NA MKUU WA
JKT KUPITIA VYOMBO MBALIMBALI
VYA HABARI.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA
MAKAO MAKUU YA JKT TAREHE 25
yeap..!Msc Management Information Systems 4rm pritolia unversity.
inatia moyo lakini kama wahusika wanapitapita humu na kuona michango hasi na chanya, wawe wanarespond na kero zinazowagusa basi!