Nafasi za kazi Qatar

Nafasi za kazi Qatar

Aise huu ni ubaguzi mkubwa, kwanza wamebaguliwa wakristo, pili wamebaguliwa waislamu wasio wa zanzibar, kazi kwelikweli, dhambi ya ubaguzi ni mbaya, yameanza kutimia maneno ya mwalimu. Kweli mwenyezi mungu alimpa uwezo wa kuona mbali. Lala mahali pema peponi mzee mchonga.

si hayo tu, huko tuendako utasikia LAZIMA AWE MWISILAMU MSHIA AU MSUNI.. yetu macho, ubaguzi unaanza kwa dini then unaingia kwenye udhehebu
 
mdau uliepost hiyo thread wala hujakosea, nimekusoma, kumbe umetuwekea tuone hilo tangazoo.. alaaa, sasa nataka kukuthibitishia kuwa hilo ni kweli maana kuna bro wangu aliwahi kuomba kazi kampuni inayoitwa Four seasons safari, akaambiwa eti umequalify ila shida ni moja tu your not a muslim. mh, hata kwenye mabasi mengi jamani ambayo wamiliki ni haohao na madereva mpaka matandboy ni haohao, na makampuni kibao, so msishangae wadu udini upo sana tu,.ila mm nawashauri kuwaa, udini si ishu hata Mungu aliwapatanisha WAYAHUDI na WAYUNANI maana aliona hakuna haja ya watu aliowaumba yeye kudharauliana.
 
Mumeanza tena.hebu tizama wale mabaharia wanaochukuli wilaya ya temeke na ilala.mbona hamkuzungumzia.hamuoni km ni ubaguzi.kwani cc tunaoishi wilaya nyengine hatutaki?
 
Asalaam alaikum,

Nafasi za kazi Qatar Flour Mills,(QATAR) kwa Muslim tu.

Kwa niaba ya Qatar Flour Mills napenda kuwatangazia wazanzibar
wenzangu waliopo hapa Qatar au Zanzibar nafasi za kazi kwa vijana
wote,Kazi za Usindikaji,Usambazaji,upakiaji na nyingine nyingi,Mshahara
ni mzuri sana na pia kuna makazi ya bure kwa wafanyakazi.

Masharti ya muombaji ni pamoja na;

.Awe na umri kati ya miaka 18 na usiozidi miaka 35.

.Awe na Elimu ya Msingi na kuendelea.

.Mwaminifu na upo tayari kujituma katika kazi.
.Hizi nafasi ni kwa Wazanzibar tu na Uwe ni
Muslim.

Kwa Maelezo zaidi tuma CV yako kwa;

Qatar Flour Mills Co. P.O.Box: 1444, Doha, Qatar

Email: fatma@qualityservice.com

iMETOKA KATIKA UKURASA WA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU
ZANZIBAR.
link :
http://www.facebook.com/UamshoJumuiyaYaMihadharaYaKiislamuZanzibar

ubaguzi live,hamna aibu kabisa.
 
haya ndugu zangu waislamu wa huku bara, mzigo huo ila mumebaguliwa au waislamu wa bara wote mnakazi tayari ? pia waislamu wa pemba sijaona wakitajwa hapo
 
NYIE SI HUWA MNASEMA NAFASI ZA SERIKALI ZIMESHIKWA NA WAKRISTO!! Sasa nyie mnafanya nini hapa na Qatar..... Chuki,ubahili,ubinafsi n.k Halafu mnasema dini ya HAKI....? Labda muwadanganye hao hao wazanzibar
Monyiaichi anakwambia hivi....''sio kwa waislam tu, ni kwa waislam tena wawe wazanzibar ati''
 
we mleta tangazo inaonesha una hamu ya kula nguruwe hovyo kabisa
 
Tunaelekea wap jaman na huu ubaguzi.Hv n kwel Mungu ndo anapenda 2baguane hv?mnakosea sn ndugu zangu ata Mungu hapend kuona hatupendan cc wenyewe kwa wenyewe!Dini ya ukweli ni upendo.
 
Ngoja nitoke haraka kwenye huu uzi nisije kuambiwa bado unafanya nini hapa.
 
na hao waislam wa Zanzibar wawe Suni au Shia? 'please try to be precise and complete" sio mtu aje na uislam wake wa mtaani... Mwalimu speech revisited.
 
Back
Top Bottom