Nafasi za kazi Qatar

Nafasi za kazi Qatar

haya majamaa mabaguzi sana aisee au wanaenda kupewa mafunzo ya ughaidi..nadhani sehemu muhimu ya kutangaza isingekuwa humu jamvini ungeenda misikitini..ungepata maghaidi wengi tu wanaotaka kwenda kupata mafunzo ya namna ya kuua wakristo na kurusha mabomu makanisani
 
...kuna Uzi mmoja niliuona, umeandikwa hivi, "sass sheikh ponds aamua kujaribu wakili kafiri" kiukweli nilifurahishwa sana na wanajamvi, si waisla na wala wakristu, hakuna hata mmoja aliyekomenti. Jaman tuwe na msimamo huo huo maana Kuna watu lengo Lao Ni chokochoko.
 
mmeanza za waislamu tu....
Mkafuata kwa wa zanzibari tu.....
mtamalizia kwa wapemba tu....au waunguja tu.....

Anyway haina uhusiano na na usafirishaji wa binadamu hii? Isije ikawa gia tu ya kula vichwa hii

...we jamaa utakuwa na uwezo mkubwa WA kufikiri, upo sahihi khs human trafficking
 
------- sasa kwa nini unaleta huku peleka katengaze kwenye nyumba yenu ya ibada sh wain<
 
Alaf mkae mkijua na JF ni ya wabara muanzishe UAMSHO FORUM ya Wazanzibari tu ndo muweke huko na mambo yenu..
 
wamataka wazaznibari waislamu kwasababu nyinyi mijitu ya bara ni wezi katika kazi na pia hamuaminiki ila wazanzibari ni waaminifuuuu!

Kumbe hawaangalii ushoga


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Kazi ya kwenda kupack tende kwenye maboksi
 
nafasi za kwenda kujilipua na mabomu ya kujitolea mhanga
 
Habari.

Kwanza mimi sioni kosa kwa mtoa uzi. Mwajiri anataka waislamu na nchi yenyewe Qatar, sasa wewe mtanzania unalazimisha haki kwenye nchi isio yako? Nchi ya kiislamu, wanataka kuwapa nafasi waislamu wenzao, mbona nchi zilizo na wakristo wengi huoni kuajiriwa muislamu, na km wapo wachache sn, hata Qatar wakristo wapo lkn kipa umbele ni waislamu tu. mm binafsi sioni tatizo hapo.

Wabongo tunapenda kulalamika na kuwa na negative mind. na hili tangazo kaliweka hapa na sio msikitini tu maana kuna walengwa wa hiyo post, we km unaona sio mlengwa kwan lazima ujibu?

Angalieni kazi kibao kutoka nje hata marekani utaona vacancy zingine kwa watu wote na zingine wanaandika kwa wamarekani tu. Hata kazi za hapa za serekalini mbona hua wanaandika lazima uwe mtanzania, kwahiyo immigrants wanaoishi hapa raia wa nchi zingine km kenya na uganda waanze kulalamika wanabaguliwa?

Kuweni na positive mind, hii kitu ipo kokote duniani, charity starts from home, unataka nikupe charity ww jirani nimuache wa nyumbani? hamna anefanya hivo hata km ni ww sema kwl sio unashabikia tu. ila kikiwa cha ziada bac hyo charity unaanza kui expand kwa majirani, hlf kwa nyumba kumi, km bado una ziada unaenda kwa watu wa kata yote unawasaidia, km bado unazo nyingi city nzima, ikiwezekana city za jirani, mpaka nchi nzima na hata duniani kote.

Narrow minded.
 
------- sasa kwa nini unaleta huku peleka katengaze kwenye nyumba yenu ya ibada sh wain

haina haja kutukana n bora unaloona halikuhusu liachilie mbal kuliko kuzua mambo meng yasomsingi
 
Asalaam alaikum,

Nafasi za kazi Qatar Flour Mills,(QATAR) kwa Muslim tu.

Kwa niaba ya Qatar Flour Mills napenda kuwatangazia wazanzibar wenzangu waliopo hapa Qatar au Zanzibar nafasi za kazi kwa vijana wote,Kazi za Usindikaji,Usambazaji,upakiaji na nyingine nyingi,Mshahara ni mzuri sana na pia kuna makazi ya bure kwa wafanyakazi.

Masharti ya muombaji ni pamoja na;

.Awe na umri kati ya miaka 18 na usiozidi miaka 35.

.Awe na Elimu ya Msingi na kuendelea.

.Mwaminifu na upo tayari kujituma katika kazi.
.Hizi nafasi ni kwa Wazanzibar tu na Uwe ni Muslim.

Kwa Maelezo zaidi tuma CV yako kwa;

Qatar Flour Mills Co. P.O.Box: 1444, Doha, Qatar

Email: fatma@qualityservice.com

iMETOKA KATIKA UKURASA WA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU ZANZIBAR.
link : http://www.facebook.com/UamshoJumuiyaYaMihadharaYaKiislamuZanzibar

toa u.j.i.n.g.a wako hapa
 
Wewe ni muumini wa serikali gani?
uamsho.PNG
 
NYIE SI HUWA MNASEMA NAFASI ZA SERIKALI ZIMESHIKWA NA WAKRISTO!! Sasa nyie mnafanya nini hapa na Qatar..... Chuki,ubahili,ubinafsi n.k Halafu mnasema dini ya HAKI....? Labda muwadanganye hao hao wazanzibar

Hata nami nimeguswa na hii thread, lakini wewe unagusa na wengne...
 
haya majamaa mabaguzi sana aisee au wanaenda kupewa mafunzo ya ughaidi..nadhani sehemu muhimu ya kutangaza isingekuwa humu jamvini ungeenda misikitini..ungepata maghaidi wengi tu wanaotaka kwenda kupata mafunzo ya namna ya kuua wakristo na kurusha mabomu makanisani

Duh!......
 
Hta na huduma zenu mfanyie hao hao waislm msikatie tickets matheheb mengine.pepo nyie kwnz tukianz kuwabagua na cc wa madhehebu mengne mtakuw ht nje hamtoki.
Pelek tangazo msikitin shit!
 
Back
Top Bottom