Nafasi za kazi Qatar

Nafasi za kazi Qatar

haya ndugu zangu waislamu wa huku bara, mzigo huo ila mumebaguliwa au waislamu wa bara wote mnakazi tayari ? pia waislamu wa pemba sijaona wakitajwa hapo

unguja+ pemba= zanzibar, waislam nawakubali sio wanafiki tatizo hao wengine ndo sera zao ila kimya kimya
 
uaminifu kazini?hyo ni laana 2 ya ubaguz wala msisingizie uaminifu kazin,achen ubaguz nyie Mungu alituumba 2pendane na sio kubaguana kama mnavofanya!na kitu uaminifu ni roho ya mtu sio dini wala kabila.

nenda world vision uone kama utakuta muslim hata mmoja! haya yanafanyika hata upande wa pili tatizo ni kimya kimya!
 
Jamani wala msilumbane kuhusu kazi zinazoitaji watu wa dini furani tu kwani huwa wana maana tena ya msingi sana.kwa mfano tuangalie kazi ambayo wanataka muslim tu,ikiwa ww ni mkristo unataka kazi ambayo umeshaambiwa anatakiwa muslim itakupa shida sana coz kuna wakati wenzio wa swala tano wanataka kwenda kuswali na mda huo wanaitaji kufunga ofisi japo for 30minutes,huoni kama itakuwa kero na usumbufu kwako?.Tuje upande wa pili kwa mfano kwenye hii mnaita world vision ww ni muslim sasa ofisi imepanga kila mkifika kazini saa moja na nusu asubuhi mnafanya ibada up to mbili kamili then kazi ndo inaanza sasa ww mwenzangu utaweza? So wanaposema hii kazi nikwa dini furani wana maana kubwa sana.Hii ni mifano tuu ila hivi vitu vipo.Fuateni maelezo wala msilumbane
 
Back
Top Bottom