Walichukua wachanganyikeni tuHv zile za watu 145 walishawaita?
Kumbee ee anyway ngoja tujaribuKama ujasoma Course yao ya miezi miwili katika chuo chao kilichoko changanyiken Usijisumbuwe kuomba
Mmmh sasa kila mkoa watawatoa wap waliosoma hukoKama hujasoma kula changanyikeni usijisumbue kuomba HUPATI
Acha ushamba wewe, wewe unajua kila kitu?Yaani, hutu tuvijana twa zoom na dot.com ni majanga.
Waache wajaribishe they can be considered mkuu ,Kama hujasoma kula changanyikeni usijisumbue kuomba HUPATI
Nichangie nauli aisee niweke hapa maana nimetoka kibit hadi ilala kuyafuataMkuu si utupie hapa hapa haya maeneo kwa Dar
Nimejaribu kufuatilia huku nilipo kwenye ofisi zao ( IRINGA) bahati nzuri nikakutana na mtu ninayemfaham kiasi hapo ofisini, kwenye story mbili tatu nikamchomekea na ishu ya mshiko imekaaje? Akaniambia ni laki 3 per month.
Okey
Ebu fafanua25000 per day kwa hizi wanazotoka maeneo ya karibu,55000 kwa zile za mbali mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuzingua basi Kibiti ni mkoa wa Pwani Ilala umefuata nini.Mimi ninashida ya 5000 tu ili nirudi kibit ambae anayo anipe niweke hiyo mitaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukatisha watu tamaaKama hujasoma kula changanyikeni usijisumbue kuomba HUPATI
Watu wapo wanapiga kazi na wanakaribia kumaliza siku nyingi sana ila mwezi haujapitaHv zile za watu 145 walishawaita?
Nimefata izo nafasi na kusoma kale kakozi kao ka siku 3 ili angalau niwe na sifa za ziadaAcha kuzingua basi Kibiti ni mkoa wa Pwani Ilala umefuata nini.