Nafasi za kazi NBS

Nafasi za kazi NBS

Acha kuzingua basi Kibiti ni mkoa wa Pwani Ilala umefuata nini.
We toa macho tu watu tunatoka kibit kuja kupiga kozi ya CAPI we upo dar unaranda randa tu ebu ngoja nikuonjeshe kidogo
PhotoGrid_1501925826705.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa walio na maeneo ya kufanyia kazi kwa Dar naomba watupie hapa
 
NBS wanakaupendeleo na wanachuo wa changanyikeni sijui kwa sababu mama mkurugenzi mumewe ndo VC pale chuoni
ipo hivi sio upendeleo ni kwmba serikali imepitisha Sheria kuwa takwimu zote rasmi za serikali zitakusanywa na watu waliosoma kozi maalum ya data collection ambayo inapatikana Eastc Changanyikeni kwa muda wa miez 2 tu
 
Sio kweli kama ni ivyo wasingesema ni sifa ya ziada mtu kua na cheti cha takwimu kutoka EASTC wangesema ni lazima soma maelezo ya mtangazo ya kazi kila mkoa utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ipo hivi sio upendeleo ni kwmba serikali imepitisha Sheria kuwa takwimu zote rasmi za serikali zitakusanywa na watu waliosoma kozi maalum ya data collection ambayo inapatikana Eastc Changanyikeni kwa muda wa miez 2 tu
So hata ukiwa na masters ya statistics hawakutambui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom