Nafasi za kazi NBS

Nafasi za kazi NBS

Anachokisema mkuu hapo ni kweli, hao jamaa kama hujasoma course yao hupati! Labda wawe wamebadilika kwenye awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ni lazima uwe na basic ya statistics either ngazi ya cheti,diploma,degree,master's au PhD, by the way hiyo ni Kazi ya kitaaluma sio sensa kwa wabebwebebwe tu watu,ni taaluma hiyo otherwise kulikuwa hakuna umuhimu wa kuiintroduce ifundidhwe vyuoni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ujasoma Course yao ya miezi miwili katika chuo chao kilichoko changanyiken Usijisumbuwe kuomba
Kaka msaada tafadhali hivi wanaposema uwe na cheti, hawamaanishi certificate ile ya miezi 12?, na kama wanamaana ya ngazi ya cheti hiyo ya miezi miwili inatolewaje na kwa utaratibu gani.
Msaada ndugu yangu nipate taharifa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo mkuu, mm nimefanya hapo kazi kwa muda (temporary) nikiwa bado nasoma tu chuo wanalipa vzur sana na sikusoma iyo course ya hapo changanyikeni cha msingi connection tu mzee, hapa mjini km humjui mtu bora ukalime tu
Ulikuwa na connection ndo maana bila kusoma course yao na bila connection ni mara chache sana hadi Mungu aweke mkono wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima uwe na angalau elimu ya cheti ch
a ukusanyaji takwimu rasmi(official statistics) kutoka chuo cha takwimu Changanyikeni vinginevyo usijisumbue.Wako strict sana na wanadai hiyo ni kwa mujibu wa sheria mpya ya takwimu ya mwaka 2015.Ahsante.
 
Hamyahusika na gharama hivi mtu anatafuta kazi hizo pesa atatoa wapi?
 
View attachment 552556

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi za kazi ofisi ya Taifa ya Takwimu
IMG_20170731_110141.jpg
IMG_20170731_110226.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka msaada tafadhali hivi wanaposema uwe na cheti, hawamaanishi certificate ile ya miezi 12?, na kama wanamaana ya ngazi ya cheti hiyo ya miezi miwili inatolewaje na kwa utaratibu gani.
Msaada ndugu yangu nipate taharifa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
wanamaanisha cheti cha data collection kinatolewa chuo cha takwimu kwa miezi miwili,ada yake ni 450,000 na application ni 30,000 so andaa kama 480,000,ukisoma hiyo utakuwa na uhakika wa kazi kwakuwa wanavikazi vingi vingi so vijimilioni milioni hutovikosa
 
Wakitoa kazi huwa wanalipa mishahara kwa mwezi au posho kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom