Nafasi za kazi NBS

Nafasi za kazi NBS

S
ipo hivi sio upendeleo ni kwmba serikali imepitisha Sheria kuwa takwimu zote rasmi za serikali zitakusanywa na watu waliosoma kozi maalum ya data collection ambayo inapatikana Eastc Changanyikeni kwa muda wa miez 2 tu[/

QUOTE]
Sio kwwli sheria inataka watakwimu wenye angalau na elimu ya cheti.Ndo maana wenye shahada,stashahada pia wanatumiwa.Isipokuwa kuna ushirikiano kati ya nbs na eastc ndo maana wanapeana shavu.Ila mtakwimu wa UDSM/UDOM na wa CHANGANYIKENI wote wana sifa sawa i
 
Kwa mwanza ofisi ipo jengo gani jamani???

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangazo la mwanza ilo
IMG_20170731_110141.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tangazo la mkoa wa Pwani maana huku kuna Kibiti,Ikwiriri,Rufiji nk.Watakaoomba huku watakuwa wachache so competition itakuwa ndogo.Tutapata hata sisi tusiosoma huko Changanyikeni.
 
Naomba tangazo la mkoa wa Pwani maana huku kuna Kibiti,Ikwiriri,Rufiji nk.Watakaoomba huku watakuwa wachache so competition itakuwa ndogo.Tutapata hata sisi tusiosoma huko Changanyikeni.

haaaaa haaaa haaaaa.
Naomba niishie apa hapa kwenye kicheko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom