mombasafinest
Member
- Mar 6, 2017
- 67
- 78
Intake yao wanafanya at what time of the yearwanamaanisha cheti cha data collection kinatolewa chuo cha takwimu kwa miezi miwili,ada yake ni 450,000 na application ni 30,000 so andaa kama 480,000,ukisoma hiyo utakuwa na uhakika wa kazi kwakuwa wanavikazi vingi vingi so vijimilioni milioni hutovikosa
Sent using Jamii Forums mobile app