Chebe23kid
Member
- Jan 13, 2020
- 52
- 29
Uzi umepoa sana huu
Kaka vipi kuhusu msataPicha Jana page police insta walipost madogo wakiwa kwenye semina
Week ijayo majibuUhamiaji week hii mbivu na mbichi zinaweza julikana
Sawa kamishna jeneraliWeek ijayo majibu
Bwana Joel mbona umetukataaSawa kamishna jenerali
Sure,huwa wanatoaga after 14 days,vijana wenye mifumo waendelee kutunza damuWeek ijayo majibu
Uwakika Mzee vifaa nishanunuaSure,huwa wanatoaga after 14 days,vijana wenye mifumo waendelee kutunza damu
bas week hiii majina yanatokaSure,huwa wanatoaga after 14 days,vijana wenye mifumo waendelee kutunza damu
Mi mpaka nione PDF la mwisho brohBwana Joel mbona umetukataa
Muhimu sana,maana mifumo huwa inazidianaga nguvu 😀Mi mpaka nione PDF la mwisho broh
UmetishaaUwakika Mzee vifaa nishanunua
Relax week hii inayokuja haitoisha bila kutoa pdfUhamiaji pdf linatoka lini wakuu wenye lonja zozote?
Msata Sina ronja kaka Kwa Sasa mambo haya somekiKaka vipi kuhusu msata
Watu wamepegiwa simu champMagereza wamegoma kutoa majina?
Police soon Wana kula kiapoNafunga Uzi huu .