Lamentations
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 285
- 844
320 au 330 mmepeleka wap wengine. Hii sio ronja ni taarifaau nitoe lonja nyingine,kuna 320 halafukuna 3200+
320 au 330 mmepeleka wap wengine. Hii sio ronja ni taarifaau nitoe lonja nyingine,kuna 320 halafukuna 3200+
me nlikua najua ni 318 kumbe ni 330320 au 330 mmepeleka wap wengine. Hii sio ronja ni taarifa
Kumbe mnavitu na mpo kimya siome nlikua najua ni 318 kumbe ni 330
Madaraja yako ya juu. Hayawasaidii wanasema, halafu mpka leo wanamind kwann tuliwanyima majibu mkuuKwamba wenye madaraja ya chini ya ufaulu ndiyo wanastahili kuwa polisi hapa Tanzania. Kwamba ndiyo hawa hawa wanatakiwa kufanya upelelezi na kuchukua maelezo ya watuhumiwa mbalimbali......aiseeee
Kaka hizi lonja mtu km mm Leo nakuna ndevu tu maan sielewi apo zinamaanisha nnau nitoe lonja nyingine,kuna 320halafukuna 3200+
Kweli chief watufahamisheKaka hizi lonja mtu km mm Leo nakuna ndevu tu maan sielewi apo zinamaanisha nn
Ngoj waje
Tupe lonja mkuu... tuendelee kujifarijiau nitoe lonja nyingine,kuna 320 halafukuna 3200+
Ha ha haaa sio mchezoKumbe mnavitu na mpo kimya sio
"Working for killers is a sure way of booking a place in hell."Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma
View attachment 1897057View attachment 1897058
Usahili wa juz Kuna mkoa wamechukua form 4 wote division 1 na 2 hakuna 3 wala 4Kwamba wenye madaraja ya chini ya ufaulu ndiyo wanastahili kuwa polisi hapa Tanzania. Kwamba ndiyo hawa hawa wanatakiwa kufanya upelelezi na kuchukua maelezo ya watuhumiwa mbalimbali......aiseeee
Hizo zote ni hisia.Sema hii technique yako nimeikubali yani ulikuwa unataka kujua maslahi ya hivi vyombo ila ukashindwa kuuliza direct, ukaona uzunguke kwa kujifanya unakandia chombo fulani ukijua fika kwamba kuna mtu atakuja tu kutoa ufafanuzi na utapata majibu unayoyataka, anyway usiamini sana kila kinachoandikwa humu mkuu hata mimi sijui maslahi ya hivi vyombo kwa sababu sipo huko mimi nilijiandikia tu
mkuu SGA hapo bado wanachukua watu?Njooni kwenye kazi za ulinzi ama security kazi za kiaskari kazi za lawama kazi za kiume...maisha yanakwemda huku ni mwezi wa tatu toka nizame zangu huku SGA Security...nahudumia wazazi/family kiaina mungu atasaidia mbeleni Mambo yatafunguka zaidi
Maslahi vp ka mkubwamkuu SGA hapo bado wanachukua watu?
Maslahi vp mkuuAjira za serikalini hizi za majeshi nadhani pengine sina bahati nako au ridhki yangu haijaandikwa huko,
Vijana tusichague kazi tusisite kufanya kazi kwa sababu zisizo na mantiki maisha ni popote hasa kwa siye wanaume