Nafasi za Kazi BOT zaidi ya 50 - Apply now

Nafasi za Kazi BOT zaidi ya 50 - Apply now

Jaman OMJ na BILAURI Jr au wewe Serio pakuen basi hyo attachment mtuwekee cc tunaotumia simu za mchina
 
kwani watoto wa vigogo wapo shule bado au.. hz nafasi ni zao bna
 
Je naruhusiwa kuapply nafasi zote ninazoqualify?
 
Tujaribu tu coz ukiwaza upendeleo unaweza usiombe kaz sehemu yoyote coz hakuna ofc ambayo wafanyakaz wake hawana ndugu,Mungu atatusaidia
 
Hakuna upendeleo B.O.T jamani ni cv zako na kufaulu usaili wao tu! Basi unakula maisha pale. Ni chombo cha uma kwa watanzania wote, mimi naamini hivyo. (y).
 
Mimi mtoto wa mkulima najaribu hii Senior Enterprise Architect (Information Systems Services) ​ na nitaitwa na kuikamata bila wasi wasi ni kuwa fiti na ambitious tu
 
Na mimi mtoto wa mwalimu wa primary naomba nafasi ya Security Officer, na lazima nipate tu!! Siogopagi vitisho vya simba feki, kwani Yesu ndiye SIMBA wa kabila la Yuda...Tarudi hapa niwashuhudie pale ambapo jina langu likiwa miongoni mwa Short lifted list, na hatimaye kuibuka kidedea kwa utukufu wa Mungu...Ameeeeeeeeeeeeeen!!!!!!!!!!
 
Yes, Sijakosea!! Nitakuwa miongoni mwa SHORT LIFTED LIST!!!!
 
Hakuna upendeleo B.O.T jamani ni cv zako na kufaulu usaili wao tu! Basi unakula maisha pale. Ni chombo cha uma kwa watanzania wote, mimi naamini hivyo. (y).

search search humu jamii kwa kuandika watoto wa vigogo utapata majibu
 
Wana Jf naomba mnipe full adress day iliyotangazwa niapply,siogopi watoto wa vigogo wala vigogo wenyewe? cm yangu haidownload pdf
 
Yeremia 33: 3 (Niite nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyo yajua)
(Mimi ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili, Je; kuna jambo lolote gumu nisiloliweza?)
All the best guys, God is in control of everything, our task is to believe, everything is possible
 
Mimi mtoto wa mkulima najaribu hii Senior Enterprise Architect (Information Systems Services) ​ na nitaitwa na kuikamata bila wasi wasi ni kuwa fiti na ambitious tu

this is great El Toro and I wish you success; Kuna watu wapotoshaji sana , ooh majina wanayo. Kuapply haply ,CV haandiki na hata akiitwa kwenye interview very low confidence akiamini nafasi ina mtu kumbe wala. Tusichonge midomo wakati hata kujaribu hatujaribu. Hata hao watoto wa vigogo , kwani wanaingia bila CV au vyeti?

Lets leave the poor mind set behind , ni kupambana na watoto wa vigogo ; If you are competent enough why fear?
 
Msipoletewa iazi open hivi mnalaumu, sasa mmeletewa mnasema watoto wa vigogo ndio wanapata, hao watoto wa vigogo 50 wote wasomi? Msipoomba wakaomba wao wakapewa mnaanda kulalamika upendeleo, kazi hiyo hapo, unahisi una qualification fanya application, huna potea, ukiona mtu anasita jua ashafeli, hata kujiamini kua u can be better kwenye kazi yako huwezi! hahaha kwa nini? kisa ji BoT??
Hivi mkuu hiyo ya Messenger, hata form six leaver si ana apply..au kuna vigezo gani kuwa Messenger.?
 
Unaandika kwa Deputy Governor(AIC)
Bank of Tanzania,
P.O Box 2939,
DSM.
Hope viambatisho ushaviona
 
Back
Top Bottom