Nafasi za Kazi BOT zaidi ya 50 - Apply now

Nafasi za Kazi BOT zaidi ya 50 - Apply now

Jamani mwambieni Le Mutuz aombe hivi kazi bongo muvi haimlipi kwa umri wake
 
Hawa jamaa huwaga hawatangazi leo naona imekuwa exceptional case. huwa automatically wanachukua fest klas za uchumi pale ud kina Nchemba. sasa siku hizi ndo hivyo tena ud si chuo bora Tanzania wanavyodai commentators. pengine ndio sababu wametangaza maana fest klas wenyewe wanasema wao tu ndio wana haki ya kuwa wabunge kwa hiyo pia wote wataishia bungeni.
 
mimi naapply bank examiner....kuapply ni bure na haupotezi kitu...ningekua naamini kwa vigogo mnaowasema hata hii kazi nlonayo nisingeipata
 
Hawa jamaa huwaga hawatangazi leo naona imekuwa exceptional case. huwa automatically wanachukua fest klas za uchumi pale ud kina Nchemba. sasa siku hizi ndo hivyo tena ud si chuo bora Tanzania wanavyodai commentators. pengine ndio sababu wametangaza maana fest klas wenyewe wanasema wao tu ndio wana haki ya kuwa wabunge kwa hiyo pia wote wataishia bungeni.

Mbona wapo pale Failure form iv na vi wanapiga kazi.
 
Hivi mainjinia Civil hawatakiwi Bank Kuu? Manake wana miradi mingi ya ujenzi...eg kule Mtwara wanajenga BOT
 
Duh...... nafasi za watoto, ndugu na jamaaa wa vigogo. ni kama TPDC no connection no job
 
haya watanzania wenye sifa chungulia hapo

Accountants, Database Administrator, Business Analyst, Web Developer, Computer System Analyst/Programmer, IT Technician, Senior Enterprise Architect (Information Systems Services), Senior Legal Officer, Economist, Financial Analyst, Bank Examiner, Receptionist, Office Attendant (Kitchen), Artisan (Plumber),
Personal Secretary, Security Officer, Risk Analyst, Senior Legal Officer, Drivers, Messenger, Bank Officer, Senior Supplies Officer, Human Resource Officer
 
Ngoja nitafute number ya Mr naniliuu nijikatie Insurance Mapemaaaaaa kabla ya yote.
 
Back
Top Bottom