Nafasi za Kazi BOT zaidi ya 50 - Apply now

Nafasi za Kazi BOT zaidi ya 50 - Apply now

shukran kwa taarifa mkuu, mliokidhi vigezo changamkieni fursa hizo!!
 
Wakuu naomba alipakua au anayeweza kufungua hiyo attachment anidokeze aina ya kazi iliyotolewa na Kilombero Sugar, tafadhali!
 
kitu kikubwa ni kujiaminini tu haina cha mtoto wa mkubwa wala nini nikuapply ka unavigezo wanavyovitaka hapo.
 
Wakuu Bank of Tanzania, wametangaza Kazi:

Accountant, Database Administrator, Business Analyst, Web Developer, Computer System Analyst/Programmer, IT Technician, Senior Enterprise Architect (Information Systems Services), Senior Legal Officer, Economist, Financial Analyst, Bank Examiner, Receptionist, Office Attendant (Kitchen), Artisan (Plumber), Personal Secretary, Security Officer, Risk Analyst, Senior Legal Officer, Drivers, Messenger, Bank Officer, Senior Supplies Officer, Human Resource Officer

Applications deadline: 11th November, 2013.


Download attachment hapa

Wakuu naomba alipakua au anayeweza kufungua hiyo attachment anidokeze aina ya kazi iliyotolewa na Kilombero Sugar, tafadhali! Natumia simu.
 
Kama unakaa kigogo tuma post hizo hapo.
Maana watu wanalalamika mpaka uwe na kigogo.
 
Nyir mnaosema kigogo sijui awe wa kigogo, acha waatu wa apply na bahati zao msiwakatishe tamaa.
 
Noma sana hii wadau kiukweli kupata ni bahati ya mtu tusikatishane tamaa ndio mana hata class kuna wakwanza na wa mwisho
 
mmmmmh sijui nahic kama geresha tu hii majina wanayo.... anyway kwa utaratibu huu wa kutangaza nafasi za kazi basi na watakopata pia watajwe kuongeza uwazi!!!

Nimeipenda hii.
 
Sijaelewa hapa

Terms of Contract: Contract for an Unspecified Period of Time
 
Msipoletewa iazi open hivi mnalaumu, sasa mmeletewa mnasema watoto wa vigogo ndio wanapata, hao watoto wa vigogo 50 wote wasomi? Msipoomba wakaomba wao wakapewa mnaanda kulalamika upendeleo, kazi hiyo hapo, unahisi una qualification fanya application, huna potea, ukiona mtu anasita jua ashafeli, hata kujiamini kua u can be better kwenye kazi yako huwezi! hahaha kwa nini? kisa ji BoT??
 
Back
Top Bottom