prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 192
Mimi mtoto wa mkulima naomba security officer tu, inshallah mungu atajaalia nipate
Leo ni miaka minne tangu uzi huu uandikwe. naukumbuka sana huu uzi, nakumbuka namna nilivyokuwa mtu wa kwanza ku comment uzi huu, kila nikiurejea uzi huu basi mwili hunisisimka na kuamini kuwa mitandao ya kijamii inaweza tumika kwa manufaa; nakumbuka kipindi hiki maisha yalivyokuwa magumu kwangu, nakumbuka namna nilivyopata tabu mimi na mke wangu (ambaye kwa wakati huu alikuwa girlfriend wangu tuliyehitimu wote chuo) kukusanya nauli ya mwenda kwenye mahafali yetu ya shahada ya kwanza, nilitamani sana niwape mrejesho kwa walioniambia nijaribu bahati yangu, nakumbuka wote waliosema hakuna upendeleo, nawakumbuka wote walioonyesha kukata tamaa; lakini yote kwa yote tusikate tamaa na tujifunze kujaribu hata zaidi ya mara moja!
Salaam
Mrejesho ni POSITIVEToa mrejesho mkuu
Taratibu soma ueleweHii kitu mbona hapo uzi uondolewe tafadhari