Nafasi za Kazi BOT zaidi ya 50 - Apply now

Nafasi za Kazi BOT zaidi ya 50 - Apply now

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,247
Reaction score
5,731
Wakuu Bank of Tanzania, wametangaza Kazi:

Accountant, Database Administrator, Business Analyst, Web Developer, Computer System Analyst/Programmer, IT Technician, Senior Enterprise Architect (Information Systems Services), Senior Legal Officer, Economist, Financial Analyst, Bank Examiner, Receptionist, Office Attendant (Kitchen), Artisan (Plumber), Personal Secretary, Security Officer, Risk Analyst, Senior Legal Officer, Drivers, Messenger, Bank Officer, Senior Supplies Officer, Human Resource Officer

Applications deadline: 11th November, 2013.


Download attachment hapa
 
hapo chacha sijui watoto wa walala hoi kama tutapata manake mmmh!
nway ngoja yuapply

Utapata ndugu. We cha msingi omba kazi kwa kuzingatia maelekezo na hakikisha unacustimaze CV yako vizuri. Usijali
 
Dah! ndo haujaacha hata space,ila nimeelewa Obama wa Bongo pamoja sana mkuu
 
kazi ndo hizo ila bado tu utaona watakaopata nafasi hizi kama siyo watoto wa vigogo tu kama kawaida yao ila na tusiache kuapply kujiamini kwanza...MUNGU YUKO UPANDE WETU..!
 
haya sasa mwanawaneeee tupiaga kasiivii hukoo upate zali maana mjomba Liyumba hayupogo siku hizi mweee :A S tongue:
 
mmmmmh sijui nahic kama geresha tu hii majina wanayo.... anyway kwa utaratibu huu wa kutangaza nafasi za kazi basi na watakopata pia watajwe kuongeza uwazi!!!
 
Back
Top Bottom