Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Kupata form simply ndio kupata nafasi.

Steps za kufuata;

1.Utaenda kwa ofisi ya mshauri wa mgambo wilayani kwako(popote pale ulipo sio lazima wilaya uliyozaliwa),
hapo utaona maelekezo ya kuandika barua ya maombi, ukishaandika barua na kuambatanisha nakala za vyeti vya shule(taaluma) then utairejesha kwa mshauri huyo wa mgambo, mtapangiwa siku ya kurudi hapo kwa mshauri wa mgambo.

2. Katika sorting ya barua kama utakua na sifa ndio utaitwa kwa ajili ya kuendelea na usaili kupimwa afya(magonjwa kama kisukari, pressure, pumu, Ukimwi etc utapimwa) then wakisharidhika kwamba wewe ni mzima wa afya na akili ndio unafuata usaili wa utimamu wa mwili (physical fitnes), baada ya wao kujiridhisha kwamba wewe uko fresh akili na mwili ndio unapewa form ya kujaza.
Hapo ni ngazi ya wilaya, ukifaulu hapo ndo utaenda ngazi ya usaili wa mkoani, napo procedures ndio hizo hizo ila kugumu ni wilayani mkuu.

Ukitusua wilayani basi mkoani una uwezekano wa kupita kwa zaidi ya 75%.

NB: pitia tovuti ya www.jkt.go.tz kusoma maelekezo yote kabla hujapoteza muda kwenda kwa mshauri wa mgambo
Sory mku iv kwa mfano tuliomaliza vyuo mwaka huu hatuna origino vyeti ila tuna statement of results twaweza tumia mzee kuapply
 
Tumia transcript mkuu.
Nina hakika chuoni kwenu transcripts ziko tayari.
Na kama huwezi kupata transcript nenda kajaribu hiyo statement of results, sikwambii kwamba watakukubalia maana hilo sasa linategemeana na busara za waendesha usaili.
 
Aah ok cz nimeona kweny qualification zao fom4 wa mwaka huu wanatumia statement of results
 
Form four wanatumia result slips ambazo ni equivalent na transcripts kwa ngazi ya chuo. Tofauti ya result slips na transcripts ni kwamba result slips zinatumika kwa muda mfupi tu then zina expire kama statement of results za chuo zinavyo expire, but transcripts zinatumika siku zote na hakuna sehemu utaombwa cheti cha chuo na usiombwe transcript, kwakua transcript ndio inaonesha ufaulu wako na kozi husika ulizosoma chuo(degree content)
 
Ok mekuelewa nilienda kuuliza transcript chuon kwe2 wakasema bdo but wametupatia progress report ambayo inaonyesha coz zote nilizosoma na grade zake kasoro GPA sasa si naweza tumia tuu ata hii chief
 
Endapo kweli chuoni kwenu hawajatoa transcripts basi nenda na hiyo provisional statement of results, naamini ukijieleza vizuri watakuelewa kwakua nao ni binadamu tu.

Wakishakukubalia watakusaili na ukifika kikosini utapewa muda wa kufata hizo documents zako zinazohusika.
Kufanikiwa kwako kumebebwa katika mpangilio wako kwenye mazungumzo.
 
Ok shukran chief kwa kunipa moyo nimejaribu kuapply tayar na kweny barua nimeandika kuwa nimeambatanisha progres coz vyet bdo mpaka mwez december 2 ndio tutapata hzo transript. Na vip kuhusu kusort barua sana sana wanaangailia nn chief??
 
Nimejitetea kiivo jee nimeenda opii au niko right kuandika ivo
 
Ok shukran chief kwa kunipa moyo nimejaribu kuapply tayar na kweny barua nimeandika kuwa nimeambatanisha progres coz vyet bdo mpaka mwez december 2 ndio tutapata hzo transript. Na vip kuhusu kusort barua sana sana wanaangailia nn chief??
Kusort barua wanaangalia vigezo husika vilivyotangazwa kama vile grades kwenye vyeti na umri wa muombaji.
Kingine hii ni Tanzania, kinachoangaliwa ni unamjua nani sio unajua nini kichwani(hope umeelewa mkuu)
Zingatia hiyo red mkuu otherwise utabaki hata kama una sifa maana nafasi hua ni chache kuliko watu wenye sifa. Just imagine wanataka degree holders wanne wilaya nzima alafu nyie mko 20 what do you think?
 
Nimekusoma mkuuu na k2 kingine kwamba nna miaka 21 arafu nna diploma na kwenye sifa zao diploma kuanzia miaka 23 hapo inakuaj chief??.
 
Haina tatizo.
Tena wewe ndo uko vizuri zaidi, kinachoangaliwa hua ni muombaji asivuke umri uliopangwa.(kwa mfano wakisema mwisho miaka 25 basi unaruhusiwa kua na miaka mwisho 25, zaidi ya 25 ndo hawachukui ila chini ya 25 wanachukua).
 
Ok shukran chief nimekuelewa vzr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom