Kupata form simply ndio kupata nafasi.Ivi kuna kuandika barua kwanza ndio upate form au unaenda moja kwa moja kwa mkuu wa wilaya na kupata form?
Kupata form simply ndio kupata nafasi.
Steps za kufuata;
1.Utaenda kwa ofisi ya mshauri wa mgambo wilayani kwako(popote pale ulipo sio lazima wilaya uliyozaliwa),
hapo utaona maelekezo ya kuandika barua ya maombi, ukishaandika barua na kuambatanisha nakala za vyeti vya shule(taaluma) then utairejesha kwa mshauri huyo wa mgambo, mtapangiwa siku ya kurudi hapo kwa mshauri wa mgambo.
2. Katika sorting ya barua kama utakua na sifa ndio utaitwa kwa ajili ya kuendelea na usaili kupimwa afya(magonjwa kama kisukari, pressure, pumu, Ukimwi etc utapimwa) then wakisharidhika kwamba wewe ni mzima wa afya na akili ndio unafuata usaili wa utimamu wa mwili (physical fitnes), baada ya wao kujiridhisha kwamba wewe uko fresh akili na mwili ndio unapewa form ya kujaza.
Hapo ni ngazi ya wilaya, ukifaulu hapo ndo utaenda ngazi ya usaili wa mkoani, napo procedures ndio hizo hizo ila kugumu ni wilayani mkuu.
Ukitusua wilayani basi mkoani una uwezekano wa kupita kwa zaidi ya 75%.
NB: pitia tovuti ya www.jkt.go.tz kusoma maelekezo yote kabla hujapoteza muda kwenda kwa mshauri wa mgambo
Utimamu wa mwili maana yake ni kuangalia kama mwili wako una afya ya kuhimili mafunzo ya jeshini, kwa mfano unaweza kupewa route ya kilometa kadhaa ukaambiwa ukimbie then wanachukua wale the best. Kumbuka hizo mbio zinakua ni mashindano sasa ukikimbia kiboya boya ndo ujue umejitoa kirahisi kabisaa[emoji23]Mkuu maelezo mazuri saaana
Embu tuambie je utimamu wa mwili inakuwaje
ZshatokaNaulizia nafasi za kujiunga jkt zinatoka lini na takakujiunga
Vp mkuu nimeangalia vgezo kwa degree holder ni 26-27 vp kwa 28 hawawez kuchukua?Utimamu wa mwili maana yake ni kuangalia kama mwili wako una afya ya kuhimili mafunzo ya jeshini, kwa mfano unaweza kupewa route ya kilometa kadhaa ukaambiwa ukimbie then wanachukua wale the best. Kumbuka hizo mbio zinakua ni mashindano sasa ukikimbia kiboya boya ndo ujue umejitoa kirahisi kabisaa[emoji23]
Au mnaweza kupewa mazoezi ya viungo sasa kama hua huna mazoezi lazima uta surrender(hii ni nadra sana).
Kikubwa jiandae kwa mbio tu, anza kutafuta pumzi.
Hawawezi....vigezo na masharti kuzingatiwaVp mkuu nimeangalia vgezo kwa degree holder ni 26-27 vp kwa 28 hawawez kuchukua?
Hawawezi kuchukua maana wanachosema ndicho wanachomaanisha.Vp mkuu nimeangalia vgezo kwa degree holder ni 26-27 vp kwa 28 hawawez kuchukua?
Mkuu samahani kwa sisi ambao tuna diploma za engineering tunaweza kucha guliwa jeshini moja moja na njia gani inatumika...na je! Kama tukienda jkt ...ili kuchaguliwa JWTZ utaratibu gani unatumikaHawawezi kuchukua maana wanachosema ndicho wanachomaanisha.
Njoo pm nikuelekeze jambo
Utaratibu ni kupitia jkt mkuu, tafuta nafasi ya jkt kwa nguvu zako zote ukiipata hyo Mungu hatakutupaMkuu samahani kwa sisi ambao tuna diploma za engineering tunaweza kucha guliwa jeshini moja moja na njia gani inatumika...na je! Kama tukienda jkt ...ili kuchaguliwa JWTZ utaratibu gani unatumika
Nahizi nafasi huwa kila mwaka ..mwezi kama huu au mwaka huu wamechelewaUtaratibu ni kupitia jkt mkuu, tafuta nafasi ya jkt kwa nguvu zako zote ukiipata hyo Mungu hatakutupa
Jeshini hakuna formula mkuu, wao huamua na kutangaza tu.Nahizi nafasi huwa kila mwaka ..mwezi kama huu au mwaka huu wamechelewa
Msingi wa jibu lako ni Upi!?Jeshini hakuna formula mkuu, wao huamua na kutangaza tu.
Alafu mbona swali lako sioni kama lina mantiki yoyote
Usiniulize non-sense kijana.Msingi wa jibu lako ni Upi!?
hyo ni masters mzee, bachelor ni 23-25....vigezo na masharti kuzingatiwaVp mkuu nimeangalia vgezo kwa degree holder ni 26-27 vp kwa 28 hawawez kuchukua?