NAFASI ZA JKT 2019 ZIMETOKA

ANOTINO

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
1,761
2,000
Wanabodi wale vijana wanaotamani kujiunga na Jkt, nafasi zimetoka ambapo usaili utafanyika kutokana na Tarehe iliyopangwa katika wilaya husika..
Vijana mjitokeze katika kutafuta njia ya kutokea katika maisha..
 
ANOTINO

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
1,761
2,000
Hilo tangazo nalo limekaa kiaina aina,
Manake hapo notice board limewekwa muda kidogo lakini linagundulika leo hii.
Official website ya Jakata sijaona Tangazo la namna hiyo...
Anyways, Ukweli utapatikana tu.
Mkuu kila wilaya washatumiwa ngoja nikutumie lingine.. kuhusu deadline ni kutokana na wilaya husika..
 
Kaparo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
1,649
2,000
Deadline line ebu litume vzur
Haha hapo hakuna deadline mkuu,
Wewe haya mambo unayafahamu vizuri aisee.
Tangazo linatoka hata kabla ya vijana wa mujibu hawajaripoti wala kupangiwa,
Unaona hapo kuna tarehe 17/5 kabla hata ya vijana kuwekewa kwenye website tarehe 22/24-May.
 
chlorine gas

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,837
2,000
Hilo tangazo nalo limekaa kiaina aina,
Manake hapo notice board limewekwa muda kidogo lakini linagundulika leo hii.
Official website ya Jakata sijaona Tangazo la namna hiyo...
Anyways, Ukweli utapatikana tu.
Nna mashaka na tangazo hilo
 
chlorine gas

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,837
2,000
Haha hapo hakuna deadline mkuu,
Wewe haya mambo unayafahamu vizuri aisee.
Tangazo linatoka hata kabla ya vijana wa mujibu hawajaripoti wala kupangiwa,
Unaona hapo kuna tarehe 17/5 kabla hata ya vijana kuwekewa kwenye website tarehe 22/24-May.
Hakuna kitu hapo
 
Kaparo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
1,649
2,000
Ni karibu na uchaguzi CCM inahitaji wanajeshi wengi sana. Vijana changamkieni fursa.
Kauli ya "Ni karibu na uchaguzi " Ataongeza mishahara ili apate kura nyingi 2020.
Mwishowe holla , "Bado sijaondoka tunajenga kwanza miradi muhimu kwa kutumia pesa za ndani"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom