Deadline line ebu litume vzurHivi hapa mkuuView attachment 1113623
Hilo tangazo nalo limekaa kiaina aina,Hivi hapa mkuuView attachment 1113623
Mkuu kila wilaya washatumiwa ngoja nikutumie lingine.. kuhusu deadline ni kutokana na wilaya husika..Hilo tangazo nalo limekaa kiaina aina,
Manake hapo notice board limewekwa muda kidogo lakini linagundulika leo hii.
Official website ya Jakata sijaona Tangazo la namna hiyo...
Anyways, Ukweli utapatikana tu.
Mkuu kila wilaya washatumiwa ngoja nikutumie lingine.. kuhusu deadline ni kutokana na wilaya husika..
Haha hapo hakuna deadline mkuu,Deadline line ebu litume vzur
Nna mashaka na tangazo hiloHilo tangazo nalo limekaa kiaina aina,
Manake hapo notice board limewekwa muda kidogo lakini linagundulika leo hii.
Official website ya Jakata sijaona Tangazo la namna hiyo...
Anyways, Ukweli utapatikana tu.
Hakuna kitu hapoHaha hapo hakuna deadline mkuu,
Wewe haya mambo unayafahamu vizuri aisee.
Tangazo linatoka hata kabla ya vijana wa mujibu hawajaripoti wala kupangiwa,
Unaona hapo kuna tarehe 17/5 kabla hata ya vijana kuwekewa kwenye website tarehe 22/24-May.
Tutumie mkuu tujilidhisheMkuu kila wilaya washatumiwa ngoja nikutumie lingine.. kuhusu deadline ni kutokana na wilaya husika..
Ngoja mdau aje atuambie.Hakuna kitu hapo
Ngoja tusbrNgoja mdau aje atuambie.
Manake JKT nayo hutumiwa na Wale jamaa wa
"Ile Pesa tuma" katika njia zao za udanganyifu
Ni karibu na uchaguzi CCM inahitaji wanajeshi wengi sana. Vijana changamkieni fursa.
Kauli ya "Ni karibu na uchaguzi " Ataongeza mishahara ili apate kura nyingi 2020.Ni karibu na uchaguzi CCM inahitaji wanajeshi wengi sana. Vijana changamkieni fursa.
Pesa zenyewe ni mikopoKauli ya "Ni karibu na uchaguzi " Ataongeza mishahara ili apate kura nyingi 2020.
Mwishowe holla , "Bado sijaondoka tunajenga kwanza miradi muhimu kwa kutumia pesa za ndani"
Pesa zenyewe ni mikopo