Mzushi huyoANOTINO uko wapi mkuu
Andika barua peleka mmjkt,watakujibuHivi kwa wale waliotakiwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza form VI na wakawa hawakujiunga kwa sababu mbalimbali wakitaka kujiunga kwa sasa hivi utaratibu unakuwaje? Na intake ya karibu kwa watu wa aina hiyo kwa mwaka huu ni mwezi wa ngapi?
Wakuu tuwe serious na maisha ya watoto na ndugu zetu kuhusu hawa JKT kwa maana kile sio chombo cha ajira bali ni sehemu ya kumpatia mtu ujuzi wa shughuli za ujasiriamali tuu.. Je itakuwaje kama asipo ajiriwa huko?.
Zama zimebadilika.... Ya leo sio kama ya jana..
Ni kauli imekaa kisiasa tu mkuu, kwann isiwe kama jinsi ambavyo tunaweka mipango na mikakati juu ya kilimo?Wakiamua kwenda huko haina tofauti na kubahatisha kwa maana hakuna uhakika na watakua wameenda bila kulazimishwa.
KAULI YA SERIKALI KATIKA HILI ni kama ifuatavyo;
“Wale wachache wanaobahatika wataajiriwa, na wale ambao hawapati nafasi za ajira watapewa stadi za kazi ili wanapotoka kwenye mafunzo waweze kujiajiri.
Aliongeza: “ Wakati wa usaili kujiunga na JKT kwa kujitolea kwenye halmashauri zetu wanatakiwa kutambua hilo, kuwa si wote watakaoajiriwa kwa sababu ajira zinategemea na idadi ya nafasi za ajira zinazotolewa.”
Alisema vijana hao miezi sita ya kwanza hupewa mafunzo ya kijeshi na miezi sita mingine hupewa mafunzo ya stadi za kazi na kusisitiza kuwa vijana wanaokwenda kwenye mafunzo hayo wawe tayari kujifunza stadi za kazi ili waweze kujiajiri.
Mkataba unasemaje ??Ni kauli imekaa kisiasa tu mkuu, kwann isiwe kama jinsi ambavyo tunaweka mipango na mikakati juu ya kilimo?
Mkulima anapoandaa shamba lake kwa ajili ya kupanda mbegu, atachimba mashimo 1000 ikiwa tu ana uhakika na utoshelevu wa mbegu aliyonayo na si vinginevyo...... Ss ukiangalia kwa zama hizi, ni wangapi waliopitia mafunzo na wakatapikwa kwenye ajira .?
"pale unapo jaribu kuiambia jamii kuwa umri wako ni miaka yako ni 32 age so umekosa vigezo .Hilo tangazo nalo limekaa kiaina aina,
Manake hapo notice board limewekwa muda kidogo lakini linagundulika leo hii.
Official website ya Jakata sijaona Tangazo la namna hiyo...
Anyways, Ukweli utapatikana tu.
Sijakuelewa hapa mkuu,"pale unapo jaribu kuiambia jamii kuwa umri wako ni miaka yako ni 32 age so umekosa vigezo .
"Alisikika mlevi mmoja akimwambia muhudumu
Vigezo vya form 6 kwa mwaka walio malza shule ni upiNi kweli mm nina uhakika nazo 100%
elimu yako uliishia ngazi ganiSijakuelewa hapa mkuu,
Unasemaje kwenye hili? Nifafanulie kidogo