mkuu wa majeshi alivosema kuna vijana wanasafirishwa nilitamani niipate hiyo connection

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
826
1,017
Habari wakuu. Yaani kuna muda unaweza kysikia habari mbaya lakini kutokana hali yako ya maisha unatamani hiyo habari iwe heri kwako,Mimi binafsi nilipitia jkt kujitolea miaka mitatu 2019 hadi 2022 ,Lakini mazingira niliyo pitia ya kuona wenzetu njia walizopitia kuajiriwa na mimi sikuwa na konection yoyote ile ,Sahizi nipo napambana mtaani Dodoma Siwazii sana Majeshi lakini hata kazi za kubeba zege tuu nazo huku mtaani bila connection hipati, Siku ile mkuu wa majeshi alivyosema kuwa kuna vijana wanasafirishwa kwenda kujiunga na vikundi nilitamani sana kama na mimi ningepata hiyo connection niachane na haya maisha.
 
pole sana mkuu,ipo siku utapata kazi halali.
 
Tafuta Kadi ya CCM mkuu, au tafuta kuwa karibukaribu na viongozi wa Chama au hudhuriahudhuria mikutano, I can gurantee you lazima utawekwa mahali.
 
Habari wakuu. Yaani kuna muda unaweza kysikia habari mbaya lakini kutokana hali yako ya maisha unatamani hiyo habari iwe heri kwako,Mimi binafsi nilipitia jkt kujitolea miaka mitatu 2019 hadi 2022 ,Lakini mazingira niliyo pitia ya kuona wenzetu njia walizopitia kuajiriwa na mimi sikuwa na konection yoyote ile ,Sahizi nipo napambana mtaani Dodoma Siwazii sana Majeshi lakini hata kazi za kubeba zege tuu nazo huku mtaani bila connection hipati, Siku ile mkuu wa majeshi alivyosema kuwa kuna vijana wanasafirishwa kwenda kujiunga na vikundi nilitamani sana kama na mimi ningepata hiyo connection niachane na haya maisha.
Nayajua mateso ya waliorudishwa nyumbani kwasababu nilipitia huko kwa mafunzo yangu ya awali. Usikate tamaa dogo, OP yako bado Ina nafasi katika ajira mbalimbali zitakazokuwa zinatoka vyomboni.
Kikubwa usikate tamaa tu....
 
Ahsante sana
 
Wewe ni mvaa kobazi?
Mgalatia hawezi kuwa na mawazo kama hayo
 
Habari wakuu. Yaani kuna muda unaweza kysikia habari mbaya lakini kutokana hali yako ya maisha unatamani hiyo habari iwe heri kwako,Mimi binafsi nilipitia jkt kujitolea miaka mitatu 2019 hadi 2022 ,Lakini mazingira niliyo pitia ya kuona wenzetu njia walizopitia kuajiriwa na mimi sikuwa na konection yoyote ile ,Sahizi nipo napambana mtaani Dodoma Siwazii sana Majeshi lakini hata kazi za kubeba zege tuu nazo huku mtaani bila connection hipati, Siku ile mkuu wa majeshi alivyosema kuwa kuna vijana wanasafirishwa kwenda kujiunga na vikundi nilitamani sana kama na mimi ningepata hiyo connection niachane na haya maisha.
Acha uduanzi basi.Kwa hiyo tumbo ndio linakufanya utake kufanya mambo ya hovyo?!
 
Habari wakuu. Yaani kuna muda unaweza kysikia habari mbaya lakini kutokana hali yako ya maisha unatamani hiyo habari iwe heri kwako,Mimi binafsi nilipitia jkt kujitolea miaka mitatu 2019 hadi 2022 ,Lakini mazingira niliyo pitia ya kuona wenzetu njia walizopitia kuajiriwa na mimi sikuwa na konection yoyote ile ,Sahizi nipo napambana mtaani Dodoma Siwazii sana Majeshi lakini hata kazi za kubeba zege tuu nazo huku mtaani bila connection hipati, Siku ile mkuu wa majeshi alivyosema kuwa kuna vijana wanasafirishwa kwenda kujiunga na vikundi nilitamani sana kama na mimi ningepata hiyo connection niachane na haya maisha.
Pole sana Kaka, Tz imekuwa nchi ngumu sana
 
Siku ile mkuu wa majeshi alivyosema kuwa kuna vijana wanasafirishwa kwenda kujiunga na vikundi nilitamani sana kama na mimi ningepata hiyo connection niachane na haya maisha.
I can feel your pain Bro!
 
Kataa huu upuuzi wa kujitolea ,ni ujinga uliopitiliza na unatumika kunyonya watu , mnatumia huko weee miaka mitatu mnasulubika kuzalisha mali ,wanaofaidi mabosi wa jkt ,ninyi mwisho wa siku wanawatupa kama condom iliyokwisha tumika
Ni hivyo hivyo hata kwa makampuni binafsi
Tuko katika mfumo wa kibepari ila majitu yanataka vijana wasulubike na kutumika kama manamba au watumwa halafu bila benefits zozote
Taifa la kisenge sana hili qumamae
 
Hadi serikali wanatoa nafasi za kujitolea za ualimu na afya..
 
Back
Top Bottom