Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Nafasi zipo !

Andaa 2 million ! Unapata direct post kwenda jwtz, Tanapa na uhamiaji
 
Naomben niwaambie vijana wenzangu sina haja ya kuwaficha najua jinsi gani mnavyohangaika usaili kama usail wilayani ni mwez wa 2 na tangazo litatoka tu kuweni wavumilivu.
 
Vipi swala la umri ukitaka kwenda jwtz au chombo kingine baada ya kumaliza kozi, mwisho miaka mingapi
 
Wewe ni mzee sana hautaweza kushika mafunzo!
 
Mkuu kweli tunazisubili kwa hamu sana vp hapa dar tulioko huku wenye uzoefu au walioingilia hapa dar changamoto zikoje mkuu Mwenye taharifa plz
 
Hata mimi pia natafuta nafasi ya kwenda jkt atayesikia anijulishe 0763323540
 
hizi nafasi huwa sio siri,hatua zikianza matangazo yatabandikwa ofisi za wilaya na utaratibu wa kuomba utatolewa...
 
Tangazo la matapeli lishatoka kuweni makini ndugu zangu hata huyo mtu akiwa ni askari usimuamini kwa asilimia 100
 
umri mwisho miaka mingapi? maana kila mtu anakuja na mawazo yake ya umri hadi tunashindwa kujua umri kamili wa kwenda uko
 
Tatizo lenu ni wavivu sana wa kutafuta mambo kwa nn msiwe mnafuatilia mnataka umri kila kitu muambiwe mpaka nafasi zikitoka mtumiwe pia pm acheni hizo kama unataka kuwa kamanda wa ukweli jitoe nenda kwa mshauri wa mgambo wilayani kwako muelezee shida yako atakufahamisha A to Z lakini si kila kitu uambiwe humu ndio siku unakuja kuambiwa nafasi zimetoka humu kumbe wenzako washakata mwezi kwenye mafunzo nawashauri ndugu zangu usichoke kwenda wilayani hasa kipindi hiki na msitarajie wilaya zote zitabandika tangazo kwa siku 1 kila wilaya itabandika kwa siku tofauti na deadline itakuwa pia tofauti tofauti.
 
Pamoja Mkuu!
 
Nilishakua mzalendo kabla yako na ndio maana baba nyange akanipa namba.

Simkatishi mtu tamaa, jeshini hatuna tabia ya kupepesa macho, mavi tunasema mavi na sio kinyesi.

Kama na wewe ni pot basi jeshi letu kuna ulazima lifanyiwe reform.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom