yeke Tata monke Hata mm niko tyr MuraaaTupo yatari baba
Mura wee uko huko siku nyingi ?ni kweli aisee haina haja ya kujipa presha mda ukifika watatoa nafasi na mtakuja tu huku ....sema muwe mnaenda mara kwa mara wilayani kwa mshauri wa mgambo kuulizia
Kuna maana kuondoka kwake na hizi Internship za Jkt?Nafikiri taarifa mmezipata za mkuu wa JKT Muhuga kustaafu na kuteuliwa mwingine
Sawa Tata , Muda Utazungumza.Maana ipo kiongozi hawawez wakatangaza nafasi ikiwa hawajauweka uongozi vizuri kutokana na waliostaafu ila kwa mambo yashaenda sawa vitengo wahusika tusubir ndugu zangu
Sawa Afandeeeeeeee!!!!!Maana ipo kiongozi hawawez wakatangaza nafasi ikiwa hawajauweka uongozi vizuri kutokana na waliostaafu ila kwa mambo yashaenda sawa vitengo wahusika tusubir ndugu zangu