Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Nafurah xana dah kwel cku hz kumuamin mtu kwa 100% ni vigumu ila ngoja tuone nani mkwel juu ya hili na matapel watajulikana hapa hapa.
 
Tatizo la watz wenzangu huwa hatutaki kuambiwa ukweli..me nimewaambia hii ishu ya jkt ni mpaka mwezi wa 6 au 7 baada ya budget,lakini nimeishia kutukanwa kwa kuitwa tapeli.poa,nyie endeleeni kupeana false hopes humu.ila ukweli ni kwamba operation magufuli itaanza kuchukua watu mwezi wa 6 au wa 7 mwanzoni.
Kila mtu anaongea lake kuhusu hizi mishe.. sema wenye taarifa sahihi ni JKT na ndo huwa wanatoa Tangazo! We hyo taarifa yako bado itakua tetesi tuu so usilazimishe watu wakuamin wakat hauna chanzo chochote cha habari kinachotoa usibitisho..
 
umri mwisho miaka mingapi? maana kila mtu anakuja na mawazo yake ya umri hadi tunashindwa kujua umri kamili wa kwenda uko

Subiri tangazo litoke kijana .

Umri inategemea na Elimu uliyonayo!

Wapo wanaochukuliwa kwa umri usiozidi 23yrs,

Wapo wanaochukuliwa na umri usiozidi 26!

Etc etc!

Kama Elimu yako ni form IV au VI halafu una umri zaidi ya 23yrs jihesabu kuwa hauna sifa!!..

Kama ww una degree/diploma halafu umri wako ni Around 26 ww upo sawa!!

Kuwa makini na matapeli!
 
mwongozo wa mwaka 2015 walio na degree umri ulikuwa mwisho 35yrs...
 
kaeni tayari
mwezi huu wa january 2016 sidhani kama utakwisha bila kuanza kujiandikisha wilayani...
anzeni kuandaa vyeti vyenu original kuanzia cha kuzaliwa...
 
source we itakusaidia nini?
ukipewa taarifa ifanyie kazi...kama huna uhitaji achana nayo...
 
Mkuu nataka kujua kwa walioko dar inakuwaje coz changamoto in nyingi tujuzeni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom