kureport mwezi wa pili!?Mzigo unatoka january kuripot mwez wa pili.. Andaa mazngira mapema tafuta watu wa kukushika mkono
1.cheti cha kuzaliwa
2.cheti cha form 4 nakuendele
3.Afya njema
4.Usiwe umeshakutwa na kosa la jinaii Na mambo kadha wa kadha
5.Usiwe unajihusisha na Ushoga hili linakaguliwa kwa Kuinama na Ones kama umewahi kuliwa Tundu huwa halirudi.
6.Uwe haujawahi Kutiwa hatiani kwa Makosa yoyote
7. Uwe haujaoa wala Kuolewa
8. Kwa msichana uwe hujawahi Kuzaa
9. Usiwe na Ulemavu wowote Kama Kitovu Kikubwa hauna Uvungu chini ya Unyayo n.k
Umri vipi na je kama elimu ni zaidi?
Asante Rahim lkn je
Ni cheti chochote (points) cha kidato cha nne?
Vipi kigezo cha umri?
Masuala ya kimo yakoje?
Asante Rahim lkn je
Ni cheti chochote (points) cha kidato cha nne?
Vipi kigezo cha umri?
Masuala ya kimo yakoje?
Kuhusu kimo sikumbuki ni urefu gani bt sio kigezo kikubwa sana,Cheti cha div yoyote bt sio ZERO hapo uhakika wa ajira upo na darasa la saba wanapokelewa bt ajira hakuna ,Vilevile umri kuanzia 18 hadi 25kama sikosei
Kama wewe ni darasa la saba fani ndio itakayokubeba
Zikitoka unitonye
mbona hamuulizii nafasi za police???? au magereza???
Wanahisi huku JW Ni mdebwedo.. Acha watakaofanikiwa waje waone uchungu na ugumu wa kuitafuta posho
kama ni moyo wa mtu kapenda hakuna ugumu wowote wa kutafuta posho ila kama umekosa ajira na umelazimishwa ndio utauona ugumu wa kutafuta posho, pia usiwakatishe tamaa vijana wenye uzalendo na moyo wa dhati wa kutumikia nchi yao kila mwaka wenye uzalendo wanakosa nafasi wilayani lakin hawakati tamaa, kuwa mzalendo usiwakatishe tamaa.
Nilishakua mzalendo kabla yako na ndio maana baba nyange akanipa namba.
Simkatishi mtu tamaa, jeshini hatuna tabia ya kupepesa macho, mavi tunasema mavi na sio kinyesi.
Hongera Afande
Komaa utatoka