Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
siku hizi jkt inatafutwa kama rubi kulikoni vijana? ama ndo kusema mmekuwa wazalendo zaidi au mwatafuta ajira tu?
 
Huwa wanatoa mwez was pili pia nw police; magereza; tanapa n.k lazma upite jkt ndpo uende sehem hucka kwa kuchaguliwa..
 
Jamani vigezo vya kujiunga na jkt ni vipi?

kigezo kikuu: usiwe na midevu kama Carl Max na makunyazi
kama hayo uliyo nayo usoni .
avatar262332_1.gif
 
mbona hamuulizii nafasi za police???? au magereza???

Magereza tanapa polisi na taasisi nyingine huwa znachukua vijana jkt pia...fuatilia mkuu.ndo mana ukienda jkt una asilimia 95 ya ajira japo wapo wanaokosaga na kurudi nyumbni kupaki basi:mad::cool::banghead:
 
1.cheti cha kuzaliwa
2.cheti cha form 4 nakuendele
3.Afya njema
4.Usiwe umeshakutwa na kosa la jinaii Na mambo kadha wa kadha

Asante Rahim lkn je
Ni cheti chochote (points) cha kidato cha nne?
Vipi kigezo cha umri?
Masuala ya kimo yakoje?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom