Hayo ndio manenotupo tunasubiri tangazo twende kwenye usaili jkt full stop...
Pamoja Kiongozimkuu Aziz walter nimekuelewa sana.
Nasikia harufu ya kutapeliwa humu😛😛endelea kusubiri nafasi za jkt kijana,ukitaka nikuunganishe pia unaweza kuniPM.
He he he... Na atawatapeli Kweli..Nasikia harufu ya kutapeliwa humu😛😛
Alikupiga sh.ngapi Mkuu na ni Askari Jeshi ama?mwaka 2014 nilikuwa niingie,nikapigwa pesa kadhaa ila aliye nipiga hakutumia akili maana kabadilisha namba ila nina data zake a to z nasubiri siku tu mashetani yanikolee nika mfire ******...
Kabisaaaaa, harafu Mkuu Aziz sijui kapotelea wapi!!!jaman tuendelee kupeana updates zaid ile tuweze kulitumikia taifa letu kwa utii wa hali ya juuu zaid