Azizi Walter
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 221
- 139
- Thread starter
- #101
Ndio washafanya wa uhamiaji na wa MagerezaSawa Mkuu, ngoja tusubiri. Hawa waliomaliza JKT washafanya usaili kwenye vyombo mbalimbali?
Ndio washafanya wa uhamiaji na wa MagerezaSawa Mkuu, ngoja tusubiri. Hawa waliomaliza JKT washafanya usaili kwenye vyombo mbalimbali?
Kuweni na uvumilivu vijana karibia zinatangazwa mtaweza jeshi kweli kama uvumilivu sasa hv mnakosa?mwaka juzi kuja 2015 pamoja na bajeti kuwabana,nafasi zilitoka mwezi wa 12...mwaka huu mbona wamechelewa hivi?
Wana mzuka hatariKuweni na subira vijana, mambo yameiva,siku si nyingi kipyenga kitapulizwa.
Wana mzuka hatariKuweni na subira vijana, mambo yameiva,siku si nyingi kipyenga kitapulizwa.
Wana mzuka hatari
Meja General Raphael Muhuga mkuu wa jkt na si rahisi kuongea nae kama alivyosema huyo mkuu hapo juu.
wewe unajua me meja raphael muhuga ni nani kwangu?Meja General Raphael Muhuga mkuu wa jkt na si rahisi kuongea nae kama alivyosema huyo mkuu hapo juu.
Na wewe unajua Ndomba ni nani kwangu? Acha ushamba huo ni ushamba wa kizamaniwewe unajua me meja raphael muhuga ni nani kwangu?
Tuonyeshe Tangazo la Jkt linalosema nafasi mwaka huu zitatoka mwez wa 6.. kama kuna mabadiliko yeyoye Tangazo lazma litokewewe unajua me meja raphael muhuga ni nani kwangu?
Hajui anachokisema anafikiri jeshi mipango huenda kwa cm tu kama hujui ni bora useme sijui tu hakuna atakayekucheka na usidhan kila mwanajeshi ana taarifa kamili za jkt anaweza akawa yupo kati na asiwe anafuatilia hayo mambo kuweni makini mtakuja kupigwa pesa.Tuonyeshe Tangazo la Jkt linalosema nafasi mwaka huu zitatoka mwez wa 6.. kama kuna mabadiliko yeyoye Tangazo lazma litoke
wewe unajua me meja raphael muhuga ni nani kwangu?
He he he...Na wewe unajua Ndomba ni nani kwangu? Acha ushamba huo ni ushamba wa kizamani
Huyu Aziz kanichekesha saaana aiseee, basi tu niliamua kukaa kimya.He he he...
Kwa nn kiongozi?Huyu Aziz kanichekesha saaana aiseee, basi tu niliamua kukaa kimya.
nyie endeleeni kufarijiana tu vijana.ila me nimewaambia ukweli wa mambo kutoka kwa top wa hiyo jkt.maswali mengine yako nje ya uwezo wangu kuyajibu.Tuonyeshe Tangazo la Jkt linalosema nafasi mwaka huu zitatoka mwez wa 6.. kama kuna mabadiliko yeyoye Tangazo lazma litoke
endelea kusubiri nafasi za jkt kijana,ukitaka nikuunganishe pia unaweza kuniPM.He he he...
Hehehe.. Ni Mimi daktari Wa jeshi Nje ya Madaendelea kusubiri nafasi za jkt kijana,ukitaka nikuunganishe pia unaweza kuniPM.