Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Hiv nafasi zitatoka mwezi huu kweli? Au ndo mwez wa 6 kama mwaka Jana..
Mwaka jana hazikutoka mwezi wa 6, zilitoka kitu kama mwezi wa pili hivi. Ila kureport makambini ndo ilikuwa mwezi wa 6.
 
5.Usiwe unajihusisha na Ushoga hili linakaguliwa kwa Kuinama na Ones kama umewahi kuliwa Tundu huwa halirudi.

6.Uwe haujawahi Kutiwa hatiani kwa Makosa yoyote

7. Uwe haujaoa wala Kuolewa

8. Kwa msichana uwe hujawahi Kuzaa

9. Usiwe na Ulemavu wowote Kama Kitovu Kikubwa hauna Uvungu chini ya Unyayo n.k

duh hiyo namba tano ni kweli au ni uzushi tu wa mtaani maana nilianza kuisikia zamani sana
 
Naona madogo waliongia mwaka Jana wamerud kwa mtaa kuja kusalimia...
 
jamani jamani naombeni mnijuze zikitoka........hua naenda website yao sioni kitu
Uwe unafatilia ktk website yao kila wakati au uwe unafatilia humu kila muda. Hakuna wa kukufata PM na kukwambia kuwa nafasi zimetoka.
 
mwezi huu wa 1 piga uwa lazima nafasi zitangazwe ila kuripoti hapo ndo ngumu sana kukadiria maana mpaka wamalize usaili wilayani na mikoani...
 
mwezi huu wa 1 piga uwa lazima nafasi zitangazwe ila kuripoti hapo ndo ngumu sana kukadiria maana mpaka wamalize usaili wilayani na mikoani...
Mkuu usaili wa nini tena?
 
Vijana,jana muhuga kanambia kuwa wamehairisha kuchukua vijana wa kujitolea mwezi huu coz of budget constraint,hvo basi wanatarajia kuchukua mwezi wa sita.
 
Vijana,jana muhuga kanambia kuwa wamehairisha kuchukua vijana wa kujitolea mwezi huu coz of budget constraint,hvo basi wanatarajia kuchukua mwezi wa sita.
Mbna kauli yako chenga..
Jkt haichukuagi watu mwezi wa kwanza.. Bali nafasi huwa zinatangazwa mwezi wa kwanza...
 
Vijana,jana muhuga kanambia kuwa wamehairisha kuchukua vijana wa kujitolea mwezi huu coz of budget constraint,hvo basi wanatarajia kuchukua mwezi wa sita.
Muhuga ndo nani mkuu?
 
Vijana,jana muhuga kanambia kuwa wamehairisha kuchukua vijana wa kujitolea mwezi huu coz of budget constraint,hvo basi wanatarajia kuchukua mwezi wa sita.
Kuweni Serious bas kwa mnacho andika kama hujui jambo ni bora ukakaa kimya tu, unaijua ni sababu ipi mpaka hivi sasa nafasi hazijaachiwa au unaongea tu uliza kwanza.
 
Yeye kasema kuwa ni mpaka mwezi wa 6.
Achana nae huyo hana anachokijua muda wowote nafasi zitaachiwa kaa tayari kuna sahihi ya kiongozi mmoja tu ndio inasubiriwa na sio ya Meja General Muhuga
 
Achana nae huyo hana anachokijua muda wowote nafasi zitaachiwa kaa tayari kuna sahihi ya kiongozi mmoja tu ndio inasubiriwa na sio ya Meja General Muhuga
Sawa Mkuu, ngoja tusubiri. Hawa waliomaliza JKT washafanya usaili kwenye vyombo mbalimbali?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom