Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Ukienda depo ukute wakufunzi ni la saba aisee wakagundua una midgree utasota mpaka unye labda siku hz.Natafuta sababu ya msingi niachane na idara hii familia nzima hawataki niwe kwenye idara hii maana jamii ilishaharibika hata ndugu zake utasikia"umeolewa na askali? Utapata ukimwi!! Heee.
 
Toka mapema mkuu huku hajufai hususani kama unapenda kuwa karibu na ndugu na jamaa +familia yako
 
Eti Ninaskia Usalama hawachukui chini ya miaka 27 ni Kweli????
 
vip kuhusu gharama za kujiunga??? inahitaji kiasi gani????!! ama ni bure??
 
Kwa nini kaka nisitoke nipe sababu kuu mbili! Unajua kuna jambo linanipa ugumu kuendelea!Nahitaji kumtmikia Mungu kwa sasa.

Daaah.. Umehusisha jambo ambalo kibinafsi nalikubali, lakini ktk chombo kukubalika hakupo.

Nashindwa nikuambie Nini kamanda
 
maandishi yako yanaonyesha dhahiri sio msomi kama ndivyo basi hapa kuna walakini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom