Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
mishe zote zinaanza mwez wa pili mpaka matokeo ya form4 na ndugu zetu 4rm 6 watakavyomaliza so mwez huo jkt ndio wanafanya yao ni hvy tu.
 
5.Usiwe unajihusisha na Ushoga hili linakaguliwa kwa Kuinama na Ones kama umewahi kuliwa Tundu huwa halirudi.


6.Uwe haujawahi Kutiwa hatiani kwa Makosa yoyote

7. Uwe haujaoa wala Kuolewa


8. Kwa msichana uwe hujawahi Kuzaa


9. Usiwe na Ulemavu wowote Kama Kitovu Kikubwa hauna Uvungu chini ya Unyayo n.k
Namba tano sijakuelewa halirudi wapiii yaani na kivipi
 
Kambi iliyokuwa bado kumaliza matunzo ya kabuku wana passout kesho 22.02.2016
Tutegemee mwezi wa 2 mchakato wa uandikishaji kuanza rasmi...
 
Mwezi
Kila mtu anaongea lake humu ... mnaofatilia msikatishwe tamaa na mitazamo ya watu.. mishe hata zitoke mwez wa 10 ukiwa unania unafanikisha ndoto zako tuu
kumi mbona kama sijakuelewa mkuu.
 
Hii hamu Na morali mliyonayo mkija huku iendelee, la hasha ni tutaona wabaya kwenye kazi za watu
 
Hahahaa da inapendeza xna vijana bt tonge lishafika mkononi tuwe wavumiliv kidg liende kinywani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom