Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Ukweli ni kwamba, wengi tunaomendea kwenda jeshi hatuna la kufanya, kupata kazi imekuwa tatizo.
 
Wengi tu wakwenda huko wakiwa wameacha kazi za maana tu.Kuna kitu kinaitwa insipiration...Ukipania kitu fulani,hata uweje...Uta fight mpaka ukipat we...Watu wanaacha kazi kwenye taasisi nyeti tu,wengine kwenye makampuni ya maana na wanaingia huko...
 
Na kama unakwenda kule baada ya kukosa cha kufanya hutoboi...Maana unaweza ukala
Msoto miaka 2 usipate ajira yoyote...
 
Inspiration Cyo cku hzi..na ni kwa wachache..ila kwa sasa m2 anaona kuliko kupoteza muda kukaa hme bila dira..anaamua kutafuta mchongo wa kwenda..maana degree ni nyingi mtaani.
 
Mnoel si kweli...
Nina mifano kadhaa ya washkaji waliomaliza chuo..wakasota mtaani mwaka..then finaly wakaenda jeshini. Sio kwa kuwa wanapenda ila tu ndio the only opportunity wanayoona wanaweza kutoka..na kweli some of them wako emmigration mida hii
Na kama unakwenda kule baada ya kukosa cha kufanya hutoboi...Maana unaweza ukala
Msoto miaka 2 usipate ajira yoyote...
 
Kitu cha msingi ni kulitumikia taifa,hata usipo pata ajira hautakuwa sawa kama ulivyokuwa before!...utapata ujuzi na maarifa ya kukutoa sehemu moja hadi nyingine ukiwa kitaa.
 
Kuna ndoto zisizo timia... muulize EL ilikuwaje!
Kila mtu anaongea lake humu ... mnaofatilia msikatishwe tamaa na mitazamo ya watu.. mishe hata zitoke mwez wa 10 ukiwa unania unafanikisha ndoto zako tuu
 
Wee unajishughulisha na nini mbona hunaga cha kuchangia kwenye Uzi isipokua kukatisha tamaa au muajiri sector zote hapa tz.
 
Wenye dhamira ya dhati na jkt wawe na subira na wasikatishwe tamaa na mtu yeyote, wazngatie tu taratibu na watimize sifa zinazohitajika
 
The News I heard so far ni kwamba kuingia JKT ni mwezi wa 7 ila asilimia kubwa sana nafasi zikatoka mwezi wa 2.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom