Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Ila kwa kwa wale wa form six au kwa mujibu sijui utaratibu unakuwaje kama anataka kurudi kujitolea...
 
Taarifa za kuaminika Toka kwa mzee moja yupo MJKT.. Nafasi znatoka mwez wa pili mwishon
 
Ila kwa kwa wale wa form six au kwa mujibu sijui utaratibu unakuwaje kama anataka kurudi kujitolea...
Form six(kwa mujibu) nafasi huwa zinatoka wanapo maliza mafunzo lakini mara nyingi huwa wanachukua walio soma sayansi.Kwaiyo ukimaliza mafunzo hautakuwa na nafasi tena ya kujiunga na jkt[emoji35]
 
Sisi mwaka 2013 tulihitajika kwenda lakini batch yetu ilikua ya 3 na mda wakufungua chuo ulikua ushafika so Wakatuambia tuandike barua ya ku postpone tukimaliza chuo tuende na mwezi wa 8 ndo tunamaliza vyuo, ivi hiyo nafasi bado ipo au ndo basi tena? Kwa anayejua plz
 
Nafasi ipo mzee,fanya utaratibu wa kufuatilia ili ujuwe zaidi.
 
Nimeuliza kuna anayekaa wilaya ya kibaha mjini au anaweza kwenda wilayani?
 
Sawa Tata Mura sisi tupo Vichana tunasubiria tunataka tukatumikie Hiri ritaifa retu mura.
 
Kana Mura Aleyn Kana nini kinakuchekesha Tata , sisi huiulhuku Musoma ndo Ongea Tata karibu Sana Musoma Tata Aleyn.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom