Hahahahaaa vjana wana panic mzee.Taratibu tu maneno yangu yatajidhihirisha,january ndo hiyo inakatika afu kimya mpaka leo.
Tuwe tunaandika mambo kwa kuangalia uhalisia, vp usaili uanze mwezi wa pili wakati operation muungano(waliojiunga 2014) bado wamejaa kwenye vikosi hawajaondoka kwenda kozi kwa asilimia kubwa?Tarehe 28 mwez wa pili usaili unaanza..
Vipi Mkuu, wewe ushaenda?ukienda kwa ofisi ya Mshauri wa Mgambo hapo hapo wilayani ulipo,utapewa Maelekezo usaili unaanza lini...
kama kusubiri tu umechoka,nna wasiwasi cjui kama ukienda uko jkt utaweza kusubiri zaidi ya mwaka mmoja kabla hujaenda kozi,anza kujifunza ukakamavu kwa mambo madogo kama haya ndugu yangu,kila kitu kinahitaji subra madhubuti,venginevo utakuwa unaishia njiani tu kwenye kuyaendea majambo yako.Tumechoka kusubili