Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Naomben niwaambie vijana wenzangu sina haja ya kuwaficha najua jinsi gani mnavyohangaika usaili kama usail wilayani ni mwez wa 2 na tangazo litatoka tu kuweni wavumilivu.
Samahani mkuu naomba ufafanuzi kidogo. Mimi nilipitia jkt kwa mujibu miaka miwili iliyopita. Nahitaji kurudi jeshini sasa hivi. Je nifanyaje
 
Haiwezekan tena,kwasababu ulipewa namba,kitu cha kufanya ni kusubiri nafasi za ajira zinazotoka huku uraiyani zinazo itaji mtu aliye pitia JKT.
 
Nasikia recruiting imeanza kwa madaktari only makao makuu ya jwtz upanga kuna mwenye news za uhakika
 
wakuu updates please..huo usaili wa jwtz unaanza lini?

na je ukienda hapo makao makuu na viambatanishi vyote vinavohitajika utafanyiwa usaili siku hiyo hiyo au kuna tarehe maalum?
 
Wadau mwaka huu hizi nafasi hazitoki labda Maana Kila mtu anasema lake Mara January Hii, Mara February wengine Mwezi sita na wengine Mwezi Wa Saba Duuu Ama kweli SIKILIZA WAKWAMBIE
 
Wadau mwaka huu hizi nafasi hazitoki labda Maana Kila mtu anasema lake Mara January Hii, Mara February wengine Mwezi sita na wengine Mwezi Wa Saba Duuu Ama kweli SIKILIZA WAKWAMBIE
JKT Wangetoa Tangazo wa2 2jue mzgo utatoka au hamna...
 
kwa aliyepitia jkt mujibu wa sheria ikiwa anataka kurudi tena jeshini kuna utaribu gani kwa watu hao...??

kwa anayejua tuwape info hao vijana wa mujibu
 
Haiwezekani kwasababu ulisha pewa namba kama askari wa akiba...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom