SamuraiJack
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 462
- 737
Habari zenu wanajamvi?
Kama ilivyo ada, humu JamiiForums najua ni kisima cha maarifa.
Wadau naomba msaada wa mawazo na uzoefu wenu. Mara ya mwisho nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu mdogo wangu ambaye alikuwa ameitwa kwenye oral interview, na kweli nilipata mchango mkubwa sana kutoka kwenu.
Kwa sasa ameitwa kwenye written interview ya nafasi za Registration Officer – NIDA. Naomba mwenye uzoefu au anayefahamu aina ya maswali yanayoweza kutoka kwenye written interview hiyo atusaidie. Pia maeneo muhimu ya kujinoa ili kuongeza nafasi ya kufanya vizuri.
Lengo ni kumsaidia ajipange vizuri na apate nafasi ya ajira. Ahsanteni sana kwa msaada wenu.
_________________________
UPDATE:-
Wakuu nashukuru kwa michango yenu na hatimaye dogo ameweza kuwa selected for oral interview,
Narudi tena hapa wakuu kuomba muongozo wa maswali yanayoweza kuulizwa kwenye hiyo oral, kwa wenye experience!
Nawasilisha! Mad Max Seran Wisle