Huwa wanaingia chumba fulani kwenda kuogeshwa na huyo mama. Sina uhakika ni dawa gani nyingine wanapewa baada ya hapo. Kuna mtu kani PM anataka nim pe namba ya huyo mama au nimuelekeze vizuri anakopatikana. Panda gari za Jet/Lumo - Kariakoo shuka kituoni kwa GUDE ukifika hapo uliza kwa mama msambaa!Mmmmmmhh hii kali....Ni vidonge au syrup? au sindano? mmmh haya
Duh! Hizo zenye Red ndio kwanza nazisikia.Zipo sana haujawahi kusikia limbwata kwa watu wa pwani?Shuntama Bukoba,Kichwa cha perege Ifakara nk..Usiombe yakufike baba utakoma mtu wangu.Wife akisema lala hata kama ni saa 5 asubuhi wewe kitandani tu.Nitarudi kesho wewe kutikia ndio mama Boke nk.
<br />Mtoa mada kama ni mwanamke, dawa ya mapenzi hii hapa. Mumeo akirudi jioni mpokee kwa upole na ukarimu. Mwambie pole na kazi. Ikifika saa ya utakaso, shughulika sawasawa huku ukimpigia vigelegele laini karibu na sikio lake na aksante nyingi kwa kazi nzuri anayofanya. Mwisho unamalizia na pole kwa kazi ngumu. UTAONA MATOKEO.
Mtoa mada kama ni mwanamke, dawa ya mapenzi hii hapa. Mumeo akirudi jioni mpokee kwa upole na ukarimu. Mwambie pole na kazi. Ikifika saa ya utakaso, shughulika sawasawa huku ukimpigia vigelegele laini karibu na sikio lake na aksante nyingi kwa kazi nzuri anayofanya. Mwisho unamalizia na pole kwa kazi ngumu. UTAONA MATOKEO.
Kuna tukio nimelishuhudia LIVE Mke wa mjomba'angu alisafiriMtoa mada kama ni mwanamke, dawa ya mapenzi hii hapa. Mumeo akirudi jioni mpokee kwa upole na ukarimu. Mwambie pole na kazi. Ikifika saa ya utakaso, shughulika sawasawa huku ukimpigia vigelegele laini karibu na sikio lake na aksante nyingi kwa kazi nzuri anayofanya. Mwisho unamalizia na pole kwa kazi ngumu. UTAONA MATOKEO.
Wanaume wengine hata ukiwaramba **nyayo** hawaridhiki ngó!
Si bure we ni mjuvi wa mambo yale au??????????Mtoa mada kama ni mwanamke, dawa ya mapenzi hii hapa. Mumeo akirudi jioni mpokee kwa upole na ukarimu. Mwambie pole na kazi. Ikifika saa ya utakaso, shughulika sawasawa huku ukimpigia vigelegele laini karibu na sikio lake na aksante nyingi kwa kazi nzuri anayofanya. Mwisho unamalizia na pole kwa kazi ngumu. UTAONA MATOKEO.