ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata...
Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga kirahisi,anyway pengine ni mambo ya mlungula hatujui..tumeona hata wachambuzi half time wameongelea hili na wakasisitiza kipa analo la kujibu kwa goli lile.
Goli la pili ni clear offside.
Kibendera anapotezea na refa anaonyesha kati.wachezaji watatu wapo peke yao..
Mwamuzi wa kati anapuliza kipenga cha kwenda mapumziko wakati wachezaji wakiwa kwenye move wakiumiliki mpira wakishambulia na wakikaribia kuingia ndani ya box..
Toka majuzi nimeongea hawa watu wamejikita zaidi kwenye mbinu chafu za nje ya uwanja sababu kwa ndani ya uwanja wanajijua hawapo vizuri na uwezo hawana mechi karibu ya tatu sasa tunaona timu wanazocheza nazo zikimiliki mpira vizuri kwa kipindi kirefu ila ati wao ndio wanaibuka washindi!
Kinacho wabeba kwa sasa ni
1)Ulozi
2)kutumia Pesa either kwa waamuzi au Wachezaji wa timu pinzani
3)Msaada toka kwa baadhi ya waamuzi ili tu washinde mchezo husika.
Kwa mfuatiliaji makini atagundua kuwa hawa watu baada tu ya kutolewa kule Caf wamekuja na mikakati hiyo ili wachukue ubingwa kwa style hiyo
Na ndiyo kisa tokea mechi ya dearby walisharoga hii timu inayoongoza ligi iwe ngumu sasa kwao kupata goli..kitu ambacho waweza sema kwa 80% imeonyesha wamefanikiwa!
Jiulize timu inapata nafasi za wazi karibia kumi lakini zote either zigonge bomba hata kama ni mara mbili...au mchezaji anapata kigugumizi cha miguu,au mpira tu unapaa langoni katika hali ya kustajabisha!.mara mpira umeenda nyavu ndogo...unajiuliza iweje mambo haya yaje kutokea nyakati hizi?
Sasa cha kushangaza zaidi hii timu ambayo haipo katika form ndiyo sasa inapata ushindi....timu ambayo hata wao wanakiri safari hii imesajiri vizuri eti ndiyo inatoka bila goli mechi tatu mfululizo..!
Hii hali inatisha fikiria sana haya niliyoandika ifikirie pia video iliyosambaa juzi ikionyesha watu wanavyoroga wachezaji bora ati wawe wazito na wasifunge utaamini lisemwalo,haya mambo wametoka nayo huko caf walipotolewa ndiyo wamehamia huku kwa nguvu kubwa ili kulazimisha ubingwa.
Wito Viongozi wa timu nyingine tafuteni namna ya kupoozesha uchawi huu haraka vinginevyo tutaendelea kubaki midomo wazi kwa mshangao kwa yatakayotokea.