SokoSupa Company Ltd, kupitia mfumo wake wa biashara mtandaoni SokoSupa Tanzania unaopatikana App Store na Play Store, inatangaza nafasi za kazi zifuatazo:
Mshahara: Shilingi 600,000–800,000 kwa mwezi, kulingana na nafasi na uwezo wa mwombaji.
Mahali pa kazi: Kariakoo, Dar es Salaam – Ofisi Kuu, Jengo la Mkombozi Bank, Mt. Aggrey.
Kwa maelezo zaidi na kutuma maombi, Call/WhatsApp: 0655 074 313.
- Marketing Officers – nafasi 3
- Graphic Designer – nafasi 1