Nafasi 400 jeshi la polisi

mama pita

Member
Jul 20, 2012
97
139
wale waliokua wanasubiria second selection, bado nafasi 400 wanachuo waliofika ni 2600 wanatakiwa 3000 na kati ya hao 2600 kuna watu **** 17 wamefukuzwa kwa mapungufu madogomadogo kama mimba, vyeti nk mnaosubiria msikate tamaa
 
kama aya madogo makubwa yakoje kamihanda mtarajiwa
 
wale waliokua wanasubiria second selection, bado nafasi 400 wanachuo waliofika ni 2600 wanatakiwa 3000 na kati ya hao 2600 kuna watu **** 17 wamefukuzwa kwa mapungufu madogomadogo kama mimba, vyeti nk mnaosubiria msikate tamaa

Siyo kweli kabisa,acha uongo wewe mama,watu waliochukuliwa ni 278 tu,na wameshakwenda ccp jumapili iliyopita.Hakuna 2nd selection,budget ni ndogo polisi hawawezi kuajili watu 3000 kwa mpigo tena graduates,watawaweka wapi,haitakaa itokee katika nchi hii,kama unaambiwa mambo jaribu kufikiria na kuchambua hata kidogo.
 
usinibishie mimi nipo jikoni wameanza kuingia tangu tarehe 6 ilikua jumamos mpaka trh 8 walikua wamekamilika mafunzo hayajaanza kulikua na usajiri wa vyeti, na vipimo wamefukuzwa 17. bado wanaitajika 400 usinibishie wewe
 
mi niliuliza juzi swali umuhumu kuwa 2nd selection ni lini? Muungwana mmoja akanizodoa kuwa jeshi la police sio shule za kata kuwa na 2nd selectn, mara mwana wa Mungu mwingine anaibuka kuwa kuna selectn inakuja nyingine japo nina wacwac na figure yake, mwingine anakataa kuwa haiwezekani, hebu tupeniukweli jamani mana mnatutamanisha na huku mnatuvunja moyo
 
polisi ni kweli hawana second selection na haitakuja tokea nchi hii kuajiri graduates 3000 kwa mara moja....unaposikia watu wamerudishwa kabla mafunzo hayajaanza basi ujue hizo ni nafasi za walimu wa ccp kuwaweka ndugu zao na dili na watoto wa vigogo. mambo mengi hamyajui kuhusu ajira za polisi,hv unajua unaweza kupita interview yao na siku ya safari ukafika sehemu ya kuanzia safari jina lako lisiitwe?
 
Mmmh! acheni mzaha jamani, hii ni taarifa muhimu wengi tulikuwa tunaihitaji, shukran mama pita, keep it up!!
 
wale waliokua wanasubiria second selection, bado nafasi 400 wanachuo waliofika ni 2600 wanatakiwa 3000 na kati ya hao 2600 kuna watu **** 17 wamefukuzwa kwa mapungufu madogomadogo kama mimba, vyeti nk mnaosubiria msikate tamaa

nimeipenda hiyo....red!
 
wale waliokua wanasubiria second selection, bado nafasi 400 wanachuo waliofika ni 2600 wanatakiwa 3000 na kati ya hao 2600 kuna watu **** 17 wamefukuzwa kwa mapungufu madogomadogo kama mimba, vyeti nk mnaosubiria msikate tamaa

wewe polisi gani unatoa Siri kirahisi hivyo? au unatka tukuhonge?.. ama kweli nyie polisi wa siku hizi mnaobebwa na kina balo hopeless kbs
 
Vijana msiwe na wasiwasi, kwani kuna tetesi kuwa 3rd selection inaweza kuwa mwezi ujao, huenda ikachukua watu 300.

Lengo ni kujaza nafasi zilizobaki kutokana na baadhi ya waliokwisha kusailiwa kukutwa na mapungufu makubwa kama Kukosa sifa za kuwa raia, kufoji vyeti, kukutwa wana ngoma nk.
 
Polisi? Hell No bora nibakie na utapeli wangu wa mjini huu huu na wikiendi naenda Fm academia nikienda kulala nasindikizwa na toto moja la bongo movies siku zinaenda
 
Wewe na sultani Jakaya hamna tofauti, wote ni mission town halafu mnapenda muziki na vitu lainiiii.
 
Back
Top Bottom