Nafasi 400 jeshi la polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi 400 jeshi la polisi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mama pita, Oct 17, 2012.

 1. m

  mama pita Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  wale waliokua wanasubiria second selection, bado nafasi 400 wanachuo waliofika ni 2600 wanatakiwa 3000 na kati ya hao 2600 kuna watu **** 17 wamefukuzwa kwa mapungufu madogomadogo kama mimba, vyeti nk mnaosubiria msikate tamaa
   
 2. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,492
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama aya madogo makubwa yakoje kamihanda mtarajiwa
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Aku nsije nikapewa cheo cha rpc nkawa chapa ilale
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  vipi nafasi ya rpc mwanza ipo wazi bado? Inatakiwa mtu mwenye tabia gani?
   
 5. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwa ambao tunataka tunaaply vipi?
   
 6. B

  BARCA ON Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jeshi la wananchi wao wanatoa lin?
   
 7. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Siyo kweli kabisa,acha uongo wewe mama,watu waliochukuliwa ni 278 tu,na wameshakwenda ccp jumapili iliyopita.Hakuna 2nd selection,budget ni ndogo polisi hawawezi kuajili watu 3000 kwa mpigo tena graduates,watawaweka wapi,haitakaa itokee katika nchi hii,kama unaambiwa mambo jaribu kufikiria na kuchambua hata kidogo.
   
 8. m

  mama pita Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  usinibishie mimi nipo jikoni wameanza kuingia tangu tarehe 6 ilikua jumamos mpaka trh 8 walikua wamekamilika mafunzo hayajaanza kulikua na usajiri wa vyeti, na vipimo wamefukuzwa 17. bado wanaitajika 400 usinibishie wewe
   
 9. n

  nash koba Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi niliuliza juzi swali umuhumu kuwa 2nd selection ni lini? Muungwana mmoja akanizodoa kuwa jeshi la police sio shule za kata kuwa na 2nd selectn, mara mwana wa Mungu mwingine anaibuka kuwa kuna selectn inakuja nyingine japo nina wacwac na figure yake, mwingine anakataa kuwa haiwezekani, hebu tupeniukweli jamani mana mnatutamanisha na huku mnatuvunja moyo
   
 10. Hamiyungu

  Hamiyungu JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 342
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  polisi ni kweli hawana second selection na haitakuja tokea nchi hii kuajiri graduates 3000 kwa mara moja....unaposikia watu wamerudishwa kabla mafunzo hayajaanza basi ujue hizo ni nafasi za walimu wa ccp kuwaweka ndugu zao na dili na watoto wa vigogo. mambo mengi hamyajui kuhusu ajira za polisi,hv unajua unaweza kupita interview yao na siku ya safari ukafika sehemu ya kuanzia safari jina lako lisiitwe?
   
 11. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,769
  Likes Received: 2,503
  Trophy Points: 280
  ndio! nafasi ipo wazi sifa kuu mtu anayependa kuchukua wajane na wake za watu!
   
 12. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Vip maombi unapeleka wapi?Je wameshatangaza?
   
 13. k

  kanjuni Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh! acheni mzaha jamani, hii ni taarifa muhimu wengi tulikuwa tunaihitaji, shukran mama pita, keep it up!!
   
 14. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,185
  Likes Received: 2,883
  Trophy Points: 280
  ukijogoo!
   
 15. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  nimeipenda hiyo....red!
   
 16. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  wewe polisi gani unatoa Siri kirahisi hivyo? au unatka tukuhonge?.. ama kweli nyie polisi wa siku hizi mnaobebwa na kina balo hopeless kbs
   
 17. C

  Concrete JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Vijana msiwe na wasiwasi, kwani kuna tetesi kuwa 3rd selection inaweza kuwa mwezi ujao, huenda ikachukua watu 300.

  Lengo ni kujaza nafasi zilizobaki kutokana na baadhi ya waliokwisha kusailiwa kukutwa na mapungufu makubwa kama Kukosa sifa za kuwa raia, kufoji vyeti, kukutwa wana ngoma nk.
   
 18. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Polisi? Hell No bora nibakie na utapeli wangu wa mjini huu huu na wikiendi naenda Fm academia nikienda kulala nasindikizwa na toto moja la bongo movies siku zinaenda
   
 19. C

  Concrete JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wewe na sultani Jakaya hamna tofauti, wote ni mission town halafu mnapenda muziki na vitu lainiiii.
   
 20. C

  Concrete JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa nafasi hiyo anakaimu kamanda Lily, huyu mwanamama anadaiwa ni mshirikina mbaya, kwa sasa mumewe ni zezeta.
   
Loading...