Nafanyaje mume mpole hadi kitandani

Nafanyaje mume mpole hadi kitandani

Wadau naombeni ushauri.

Mume wangu nampenda sana ila ni mpole kuongea kwake mpaka umuongeleshe umchangamshe nikiamua nami kuuchuna basi tunapiga kimya. Siku akiamua kuchangamka tu mwenyewe basi raha siku nzima. Tatizo hadi kitandani ni mpole mi nisipomuanza basi tutakaa kama kaka na dada mpaka nianze. Na no mwendo wa style moja tu basi hataki mashamsham. Nikiwa mjamzito ndo kabisaa hawezi mana style zingine sijui nikutotaka au kutojua.Yupo hivi tangu uchumba simuelewi yani. Nifanyeje abadilike jamani hamisa masham
Bora ukae hyvo hivyo, maana ukianza kumkunjia mastyle atajua umeyatoa nje
 
Wadau naombeni ushauri.

Mume wangu nampenda sana ila ni mpole kuongea kwake mpaka umuongeleshe umchangamshe nikiamua nami kuuchuna basi tunapiga kimya. Siku akiamua kuchangamka tu mwenyewe basi raha siku nzima. Tatizo hadi kitandani ni mpole mi nisipomuanza basi tutakaa kama kaka na dada mpaka nianze. Na no mwendo wa style moja tu basi hataki mashamsham. Nikiwa mjamzito ndo kabisaa hawezi mana style zingine sijui nikutotaka au kutojua.Yupo hivi tangu uchumba simuelewi yani. Nifanyeje abadilike jamani hamisa masham
Mpeleke Umakondeni huko ntwara atarudi anajua au mpeleke Tanga halafu wewe mwambie akupe namba zangu za simu anazo tutawasiliana
 
Wadau naombeni ushauri.

Mume wangu nampenda sana ila ni mpole kuongea kwake mpaka umuongeleshe umchangamshe nikiamua nami kuuchuna basi tunapiga kimya. Siku akiamua kuchangamka tu mwenyewe basi raha siku nzima. Tatizo hadi kitandani ni mpole mi nisipomuanza basi tutakaa kama kaka na dada mpaka nianze. Na no mwendo wa style moja tu basi hataki mashamsham. Nikiwa mjamzito ndo kabisaa hawezi mana style zingine sijui nikutotaka au kutojua.Yupo hivi tangu uchumba simuelewi yani. Nifanyeje abadilike jamani hamisa masham
Kumbe issue unajua tangia uchumba.

Siku uje umbadilishe style ndo utamweleza ulikoitoa.
 
Hizo styles unazodai hazijui, wewe umezijulia wapi, acha kabisa wewe dada.
 
inatakiwa ujue ni vitu gani anavipendelea huyo mumeo, then tumia hvyo vitu kutengeneza urafik nae na pia hakikisha hvyo vitu wakat anafanya na ww ufanye nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom