loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
okay nimekusoma mkuuHayo matatizo huwa yanawafanya wanaume kutokujiamini...na kuhisi kuwa wana element za kike
okay nimekusoma mkuuHayo matatizo huwa yanawafanya wanaume kutokujiamini...na kuhisi kuwa wana element za kike
We jamaa umenifanya nicheke yan!! True wanawake ndo wanapenda hvoWanawake wanapenda Ile tombw... ya hovyohovyo,mara umemgeuza hivi,vileeee,anapika umemkamata twende ndani imooo!,ameoga amevaa anatoka unashika mkono inamaaa!!
Hawa watu kuwaelewa kazi sn
Wanawake wa wapi hao?Wanawake wanapenda Ile tombw... ya hovyohovyo,mara umemgeuza hivi,vileeee,anapika umemkamata twende ndani imooo!,ameoga amevaa anatoka unashika mkono inamaaa!!
Hawa watu kuwaelewa kazi sn
sijambo Mimi, i just miss you nisipokuona ama kutana na wewe huwa siwi sawa kabisa mwenzio.Hujambo mchumba!
Nipo mimi, nakuhamu zaidi jamanii!!sijambo Mimi, i just miss you nisipokuona ama kutana na wewe huwa siwi sawa kabisa mwenzio.
Aya mama, have a blessed night.Nipo mimi, nakuhamu zaidi jamanii!!
Uzi wa watu huu tusiharibu maudhui!!



Hahahah huyo jamaa kazidi upole, ila hawa waume wa hivi kwani kwenye uchumba hawaongeagi? Au huyo mdogo wako ndie aliemtongozaga?Aisee kesi kama hiyo ndo ilomfanya mdogo angu ampige chini mume wake kwa kudai talaka mpaka ndoa imevunjika kwa sababu ya upole wa mumewe,niliposikia nilicheka sana aisee,alikuwa anasema mume hata kuongea wakiwa ndani hawezi,yy kama bubu tu.
Yani nashindwa hata kuelewa mkuu,sijui inakuaje sasa.Hahahah huyo jamaa kazidi upole, ila hawa waume wa hivi kwani kwenye uchumba hawaongeagi? Au huyo mdogo wako ndie aliemtongozaga?