Nafananishwa sana na watu hii inatokana na nini?

It's normal mkuu..Mimi ilinitokea hii kitu kwa mara ya kwanza nikiwa o level..kuna jamaaa tulikuwa tunafanana kma mapacha...watu walikuwa wanatuchanganya sana..kuna kipindi jamaa alikuwa suspended from school.. nlipata tabu Sana..kila nikienda bwalo kwa ajili ya msosi nazuiliwa wananifananisha na jamaa,
Baadae tukawa marafiki na cku nlipoeenda maskani kwao..mama ake nae akawa anatuchanganya na mshikaji..kuna mda ananiita jina la jamaa akiangalia kwa makini ndo anajua mi sio mwanae...
Na matukio mengine mengi Sana ya kufananishwa..
Mi huwa naamini kuna sura universal...hasa wenye sura za duara..mara nyingi wanafananishwa Sana..
we umenizidi mkuu
 
Watafiti wa mambo wanasema hapa duniani mtu yoyote ana watu watano wanaofanana nae kwa zaidi ya 95% kama sio 100% nimewahi soma hi habari kwenye page ya fahamu zaidi, so usiogope mkuu ni kitu cha kawaida.

Mfano wakati nipo safarini nkmetoka tu stand naingia town kuna dada mmoja akaja kunikumbatia kwa furaha mi namshangaa huyu dada vipi ndio nae anaanza kushangaa kwani wewe sio fulani (ABC) nikasema hapana, hakuamini mwisho wa siku akakubali kwa shingo upande akasema danh yani mmefanana kila kitu hadi kimo yani ningekua na picha yake ningekuonyesha lazima ungeniamini, basi nikasema sawa nikatemana nae.

Na kipindi fulani pia nilienda kumtembelea mwanangu mmoja chuoni, hasa tupo cafeteria tunapata lunch nilikua mimi, jamaa yangu na rafiki zake wawili, wakati tunapata lunch jamaa akamshtua demu mmoja kwenye simu (nadhani before walikua na miadi wao wote watatu washuke kwenda kule) basi baada ya muda yule demu akaja na mimi nilikua nimempa kisogo alivofika tu akaniziba macho kwa nyuma ile ili ni predict ni nani alioniziba, me nikabaki nashangaa jamaa akamkatiza demu we unamjua uliemziba demu kutaharuki hivi danh alishtuka balaa akasema sorry nimekufananisha na mtu fulani tena wa chuoni hapohapo, akasema yani mmefanana kama kulwa na doto na vile mtoto alikua mkali nikatamani hata angekosea anichumu

Mpaka sasa mimi nimekutana na scenario hizo mbili tu ila marafiki zangu wengi sana pia hua wananifananisha na yule dogo alo act spider man asilimia kubwa hata namba yangu wengi wame save spider
 
Uumeona mkuu humu naona wanakomalia bangi tu nisingeandika kama natumia hiyo kitu sijui wsngecoment nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom