Nafananishwa sana na watu hii inatokana na nini?

Eti wanasema bhangi zangu! wakati hii ni kweli kama unavyosema kuna mtu anakuja anakuletea stor inabid nawewe ujifanye unamjua tu mamake ukimuuliza imakuwa bado humfaham, nashukuru mkuu kumbe sio peke yangu ni hali ya kawaida tu
Bora wewe unafananishwa. Mimi nilishakutana na watu zaidi ya wawili ambao tunfanana. Wakati nasoma kuna mmoja alienda shule kuomba kazi ya kufundisha (temporary) siku hiyo sikuwa sikwenda shule, jamaa nusura apokee stick sema nguo alizokuwa amevaa siku hiyo sikuwahi kuwa nazo na pia sauti yake ilikuwa tofauti. Poa alikuwa na alama shingoni ambayo mimi sina ndio ikawa ponapona yake. Kesho yake alikuja shule nakunikuta ilibidi tushangaane na hakuna aliyemsemesha mwenzie maana tuliduwaa wote. Muhimu ni kumuomba Mungu tu usifananishwe na vibaka katikati ya kundi la watu unaweza kufa
 
ndumu
Habari zenu wakuu kuna hali huwa inanitokea ya kufananishwa na watu tofauti tofaut wengine nawafaham na nisio wafaham, nimeona nije nishee hapa pengine kuna jambo ila mi ndo silijui,

Nitaweka kumbukumbu kwa uchache ambazo hata mimi zilishangaza japo matukio ni mengi ya kufananishwa.

Kuna siku kuna jamaa nafahamiana nae kapita dukani kwangu akaniambia duh mara usharudi?nikamuuliza kutoka wapi?akaniambia ww si tumekutana kariakoo wwe ulikuwa unaenda mimi narudi na tulisalimiana ila juu kwa juu ndomana nashangaa nimekukuta hapa!siku hiyo mi sijatoka kwenda kokote nikamwambia lakin jamaa hakuamin, nikamuuliza nguo hizhizi nimevaa? akajibu hapana ila ni wewe ikabid nimwache tu.

Kuna kipindi nilikuwa nakula kaya (bangi)sasa siku hiyo nipo maskani nakula kuku moshi ghafla wakaingia watu watatu hatuwafaham, vijana wanawaita vidali au mbavu tukataka kukimbia tukijua askar jamaa wakatwambia msikimbie kuna mtu tunamtafuta amemkaba ndugu yetu.

jamaa wakaanza kutukagua mmoja baada ya mmoja ghafla alokabwa akanipoint mimi wakati najua michezo hiyo sina kabisa, moyo ulilipuka paa! jamaa wakaniambia simama juu nilivyosimama jamaa akasema dah sio huyu ila wanafanana sura yule alikuwa mrefu halafu mbavu huyu mfupi, Ndo ikawa pona yangu.
Nyingine nipo sehem nimesimama naongea na jamaa yangu nikaguswa bega kwa nyuma ikabidi nigeuke alikuwa mzee wa makamo nikamwamkia akanijibu kisha akaniuliza kazi yangu umemaliza?nikamuuliza kazi gani mbona sikufaham?akawa kama kaduwaa akiniangalia vizur kisha akajibu samahani nimekufananisha kuna kijana mmefanana sana.

Kuna siku kaja jamaa dukani kwangu akanisalimia john vp nikamwambia poa akauliza siku hiz umehamia dar? nikamwambia mi maisha yangu yote nipo hapa halafu mi sio john kwani vp ?akaniuliza kama nna undugu naye john wa Arusha nikamwambia hapana akasema basi jamaa yuko hivyohivyo.

kuna demu nae kashawah sema alikuwa na x wake anafanana sana na mimi jamaa wakawa wanasema amenikubali anataka kupigwa mkia lakin mi nilijua itakuwa kweli manake dem hakuwa na shobo zozote kusema labda kanipenda.

Juzi wamekuja wadada Ndio nikaona nishee na matukio yaliyopita hawa hawakuniambia kitu ila walioneshana kisha wakasema mmh! Wamefanana sema huyu mweupe sana tutamwambia aje amuone pacha wake.

Je kuna anaekutana na hali hii?manake kwa upande mwingine kama ni hatar naweza fananishwa na jambazi nikauwawa.
ndumu hizo uachane nazo
 
Mbona majibu unayo ni msuba huo tu
 
Kuna mdau hapo juu kwenye comment ameshauri kama ww ni mkristo fanya maombi sana hio sio ishara nzur,kuna story juzi j2 nilikuwa nasikiliza radio free jamaa kivuli chake kilichukuliwa na wachawi,so unaweza kukuta yy yupo kazini lakini kile kivuli kipo nyumban huko kinaendelea na mishe zingine,unashangaa unatoka job ukifika maskani majiran wanakuuliza kuhusu zile mishe ulizokuwa unafanya hapo mchana wake
 
Nishaacha zamani sana lakin mpka leo kuna dogo watu wananiuliza kama ni mdogo wangu na bro wangu kashawahi kuniambia nafanana na huyo dogo,kuna siku nishawahi kulipwa pesa na mtu anaemdai ila nikajua huyu kanifananisha nikachukua, yule dogo alivyokuja nikampa nikamwelekeza mtu alivyo akamjua.
Huyo aliyekuja kuchukua hiyo pesa amefanana na wewe? Hapo ndio pakuanzia
 
It's normal mkuu..Mimi ilinitokea hii kitu kwa mara ya kwanza nikiwa o level..kuna jamaaa tulikuwa tunafanana kma mapacha...watu walikuwa wanatuchanganya sana..kuna kipindi jamaa alikuwa suspended from school.. nlipata tabu Sana..kila nikienda bwalo kwa ajili ya msosi nazuiliwa wananifananisha na jamaa,
Baadae tukawa marafiki na cku nlipoeenda maskani kwao..mama ake nae akawa anatuchanganya na mshikaji..kuna mda ananiita jina la jamaa akiangalia kwa makini ndo anajua mi sio mwanae...
Na matukio mengine mengi Sana ya kufananishwa..
Mi huwa naamini kuna sura universal...hasa wenye sura za duara..mara nyingi wanafananishwa Sana..
 
Bora wewe unafananishwa. Mimi nilishakutana na watu zaidi ya wawili ambao tunfanana. Wakati nasoma kuna mmoja alienda shule kuomba kazi ya kufundisha (temporary) siku hiyo sikuwa sikwenda shule, jamaa nusura apokee stick sema nguo alizokuwa amevaa siku hiyo sikuwahi kuwa nazo na pia sauti yake ilikuwa tofauti. Poa alikuwa na alama shingoni ambayo mimi sina ndio ikawa ponapona yake. Kesho yake alikuja shule nakunikuta ilibidi tushangaane na hakuna aliyemsemesha mwenzie maana tuliduwaa wote. Muhimu ni kumuomba Mungu tu usifananishwe na vibaka katikati ya kundi la watu unaweza kufa
Dah na hicho ndo ninachohofia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom