Mwanajeshi jirani yangu anachati na mwanamke wangu

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu mmepigaje hapo siku ya leo? Hakika na kweli wanawake ni kiboko mamba akapige shule.
zimepta siku 2 simu ya mwanamke wangu ipo kwa fundi wkt simu yake ipo kwa fundi nilichukua line yake nikaweka kwenye simu yangu ili akitafutwa na ndugu zake wasimkose hewani, sasa jana mchana ikaingia sms inasalimia mambo kwny line yake sikujibu niliporudi home nikampa cm ampigie huyo aliyemsalimia mi nikawa busy na mambo yangu.

Japo nilisikia wanaongea ila sikuskiliza, sasa usiku niliamua kumchatishahuyo mtu maana nilijua ni mwanaume huku nikjidai ndiye muhuska aliyemsalimia mambo yule jamaa akasema kuna rafiki yake mjeda mwenzie anataka namba ya rafiki yake na mwanamke wangu nikamwambia usijiali taitafuta

Mara jamaa anamuuliza mwanamke wangu kama mi nipo, nikajibu hayupo mjeda akampa angalizo kwamba kila sms wanayochati awe anaifuta kwani atapigwa basi tulichat mambo mengi mpaka jamaa anamwambia mwanamke wangu eti awe makini nisjestuka ye anakula tamu yangu na akamwambia yupo Dom atarudi siku si nyingi.

JE WAKUU NICHUKUE HATUA GANI AU NIENDELEE PELELEZA AU NIMPANDIE HEWANI MJEDA?
 
Ha ha haaa, ila Mapoti bwana., nilikuaga mkoa flani hivi, nikawa naishi jirani na kambi ya jeshi, sasa kuna poti mmoja nae alikua jirani hapo hapo, so tukawa tunakutana mtaani na Bar sometimes!

Sasa sijui alitoa wapi namba ya wife, wife akaniambia kuna mtu anasumbua sana, anamwambia huyo mume wako hana hela yeyote ya kukumiliki mtoto kama wewe! Nikamwambia wife nipe hizo namba zake,(Hapo mimi sijawahi kua na namba za jirani Mjeda).

Basi bwana nikapekuapekua ile namba kwa IT yangu uchwara, nikamfumania jamaa Facebook huko, kucheck sura ni Jirani Mjeda!

Nikakaa zangu kimya, nikamwambia Wife ni jirani hapo ila muache kwanza akitumia msg tena niambie, ikapita tena kama mwezi jamaa likamcheck tena wife, nikaamua kumtext jamaa kwa siku yangu, "Kaka flani wa flani (nikamtaja jina), endelea tu kumsumbua wife, ila siku sio nyingi nitakuja na viongozi wa dini hapo Kwako tubadilishane wake zetu, mimi nichukue wako, wewe ubaki na wangu", halafu nikaweka jina langu maana alikua ananijua.

Toka hapo hajawahi kumtafuta wala kunitafuta wala kunitafuta, na akaweka tinted kabisa katika gari lake tusionane hata barabarani...

Nikaja(ga) kuhama huo mkoa!! Mapoti wanatamani sana wake zetu!
 
Wakuu mmepigaje hapo siku ya leo? Hakika na kweli wanawake ni kiboko mamba akapige shule.
Zmepta sku 2 simu ya mwanamke wng ipo kwa fundi wkt simu yake ipo kwa fundi nilichukua line yake nikaweka kwny cm yng ili aktafutwa na ndugu zake wasimkose hewani sa jana mchana ikaingia sms inasalimia mambo kwny line yake skujbu nliporud home nikampa cm ampgie huyo aliyemsalimia mi nikawa busy na mambo yng.

Japo niliskia wanaongea ila skuskiliza sasa usku niliamua kumchatsha uyo mtu maana nlijua n mwanaume huku nikjdai ndiye muhuska aliyemsalimia mambo yule jamaa akasema kuna rafk yake mjeda mwenzie anataka namba ya rafk ake na mwanamke wng nikamwambia usjari taitafuta

Mara jamaa anamulza mwanamke wng kama mi npo nikajbu hayupo mjeda akampa angalizo kwmb kila sms wanayochart awe anaifuta kwan atapgwa bs tulichat mambo mengi mpk jamaa anamwambia mwnmke wng eti awe makin nisje stuka ye anakula tamu yng na akamwambia yupo dom atarud sku si nyng.

JE WAKUU NICHUKUE HATUA GANI AU NIENDELEE PELELEZA AU NIMPANDIE HEWANI MJEDA?
Kwa jinsi ulivyohitimisha mwishoni alafu unakuja kuomba ushauri ufanyaje,Mimi nasema we jamaa ni Bure kabisa!! Wacha mkeo aendelee kumegwq maana kwako imekaa kama ufahari kumegwa na mwanajeshi
 
Wakuu mmepigaje hapo siku ya leo? Hakika na kweli wanawake ni kiboko mamba akapige shule.
zimepta siku 2 simu ya mwanamke wangu ipo kwa fundi wkt simu yake ipo kwa fundi nilichukua line yake nikaweka kwenye simu yangu ili akitafutwa na ndugu zake wasimkose hewani, sasa jana mchana ikaingia sms inasalimia mambo kwny line yake sikujibu niliporudi home nikampa cm ampigie huyo aliyemsalimia mi nikawa busy na mambo yangu.

Japo nilisikia wanaongea ila sikuskiliza, sasa usiku niliamua kumchatishahuyo mtu maana nilijua ni mwanaume huku nikjidai ndiye muhuska aliyemsalimia mambo yule jamaa akasema kuna rafiki yake mjeda mwenzie anataka namba ya rafiki yake na mwanamke wangu nikamwambia usijiali taitafuta

Mara jamaa anamuuliza mwanamke wangu kama mi nipo, nikajibu hayupo mjeda akampa angalizo kwamba kila sms wanayochati awe anaifuta kwani atapigwa basi tulichat mambo mengi mpaka jamaa anamwambia mwanamke wangu eti awe makini nisjestuka ye anakula tamu yangu na akamwambia yupo Dom atarudi siku si nyingi.

JE WAKUU NICHUKUE HATUA GANI AU NIENDELEE PELELEZA AU NIMPANDIE HEWANI MJEDA?
IF tjis is true basi ni jambo zito sana.

Kwanza tufahamu kama huyo mwanamke wako ni mke au mchumba tu wa sogea tukae
 
Mwanajeshi
 
Attachments

  • FB_IMG_1709104778096.jpg
    FB_IMG_1709104778096.jpg
    30.7 KB · Views: 9
Back
Top Bottom