- Thread starter
- #21
Hebu muelekezeni mwenzanu jamani
Asantte Honey Faith
Hebu muelekezeni mwenzanu jamani
Ni town Kyumana
Hapo inabidi ujue unakoenda kujitambulisha ni wazazi halisi au walezi.Ukijua hilo mdadisi mpenzi wako adadisi baadhi ya mambo kutoka kwa wazee wake.
Tatizo noti!
Nenda ukiwa umelewa pombe.
Nenda ukiwa umelewa pombe.
Noti vipi tena mkuu
Wazee wapo tayari kwa ajili hiyo mkuu,asante