Habari za mchana wana mmu, niko mbele yenu kuna kitu kinanitatanisha. Kidogo hapa, kuhusiana na swala la kwenda ukwenu(kwao na mwanamke) kwa ajili ya kujitambulisha na kuuweka wazi uhusiano wangu mim na yeye kwa wazee wa pande zote mbili, sasa kuna mkanganyiko hapa, je kuna haja ya kwenda na barua?? Au ndo inakuaje kwa wale mnaojua?? Ni kujitambulisha tu na siyo kuposa!!