Nadhani style nzuri ya kulala kwa wapendanao ni hii.

Kuna namna nyingi sana ya mke na mme ya kulala usiku na usingizi ukawa mnono kabisa. Kwanza kabisa ile sheria isiyo rasmi ya mke akiolewa hapaswi kulala na nguo lazima izingatiwe.

Mkiwa hamjavaa nguo mi naona style ya kulala mke na mme wote watazame upande wa ukutani yaan mke awe mbele kisha mme awe kwa nyuma huku mikono yake ikiwa imemkumbatia mkewe.

Hapo hutopata njozi mbaya sijui unakimbizwa na mazombi au unataka kuuawa la hasha utakuwa ukipata njozi za furaha na raha tele. Utaota upo na mpenzi wako marekani mnafanya shopping, Au mpo mbuga za wanyama mnatarii ai mmejenga ghorofa kubwa mtaan kwenu.

Si watu wote wanapenda kulala hivyo ninavyopenda mimi saidia comment yako tujifunze njia zingine nzuri za kulala kwa wapendanao.
Ukute bidada kashonea weaving linakaribia mwez kichwan na joto hl, hyo style huwez ipenda tena maishani.
 
Hata nikiolewa nitalala na pyjama zangu, mje mkurupushwe moto au mwizi ameingia unaanza kutafuta nguo, yakahusu.

Kumbe mrembo bado hujaolewa?
Habari njema hii kwa sababu ww una maadili!
 
style nzuri ni kulala mzungu wa nne alafu unaingiza kichwa katikati ya mapaja ya mkeo,hapo lazima uote unatorosha mchanga wa madini ya dhahabu uchina
 
Kuna namna nyingi sana ya mke na mme ya kulala usiku na usingizi ukawa mnono kabisa. Kwanza kabisa ile sheria isiyo rasmi ya mke akiolewa hapaswi kulala na nguo lazima izingatiwe.

Mkiwa hamjavaa nguo mi naona style ya kulala mke na mme wote watazame upande wa ukutani yaan mke awe mbele kisha mme awe kwa nyuma huku mikono yake ikiwa imemkumbatia mkewe.

Hapo hutopata njozi mbaya sijui unakimbizwa na mazombi au unataka kuuawa la hasha utakuwa ukipata njozi za furaha na raha tele. Utaota upo na mpenzi wako marekani mnafanya shopping, Au mpo mbuga za wanyama mnatarii ai mmejenga ghorofa kubwa mtaan kwenu.

Si watu wote wanapenda kulala hivyo ninavyopenda mimi saidia comment yako tujifunze njia zingine nzuri za kulala kwa wapendanao.
Ngoja sisi vibabu tukae pembeni,mambo ya vijana haya
 
Nakuunga mkono, hapa ni kukumbatiana nabkifanya yenu mkimaliza kila mtu na upande wake, wengine ili tulale usingizi lazima tumbo liwe chini!
Mkuu siku nyingine usikubali kuacha kalio juu, jitahidi dushe liwe linaangalia juu
 
style nzuri ni kulala mzungu wa nne alafu unaingiza kichwa katikati ya mapaja ya mkeo,hapo lazima uote unatorosha mchanga wa madini ya dhahabu uchina
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hata nikiolewa nitalala na pyjama zangu, mje mkurupushwe moto au mwizi ameingia unaanza kutafuta nguo, yakahusu.
Mwee!! Sky kumbe bado hauja yaanza mambo yetu? Ndio maana una mwandiko mzuri sana kwenye comments zako.Tunza idumu mama
 
Back
Top Bottom